EU: CHADEMA funding claim a lie

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
Balozi wa EU nchini Mr Tim Clarke amekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya mawaziri nchini kwamba Chadema inapata msaada wa kifedha kutoka mataifa ya nje (5 kutoka EU).

Bolozi amesema, atawasiliana na Sophia Simba kumtaka atoe maelezo juu ya shutuma hizo nzito,

Sophia Simba alikanusha kutoa shutuma hizo baada ya kuhojiwa na gazeti la The Citizen, na kusema kwamba hajawahi kutoa tamko kama hilo wakati wowote kwani yeye hahusiki na mataifa ya EU au mengine yeyote.

Mb wa Chadema, John Mnyika alisema Sophia Simba amenukuliwa mara tatu (mara moja na TBC1) akitoa matamshi ya kushutumu Chadema kufadhiliwa na baadhi ya nchi za EU.

By Lucas Liganga,
The Citizen Chief Reporter

The European Union (EU) is investigating claims by an official of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) that five of its member countries are financing Chadema to instigate chaos in the country.

The EU head of delegation in Tanzania, Mr Tim Clarke, said he would contact the CCM women's wing chairperson, Ms Sophia Simba, to establish the basis of her recent remarks on the alleged financial support to the opposition party.

"I have no idea where these allegations have come from," Ambassador Clarke said in an interview with The Citizen.

"As far as my own institution (EU) is concerned, I can categorically state that we have not, nor will we fund any individual political party in Tanzania," the EU envoy stated.

Speaking in Dar es Salaam on Sunday after the Official Opposition party's central committee meeting, national chairman Freeman Mbowe said they would take legal action against Ms Simba and others "for their statements aimed at tarnishing Chadema's image in the eyes of fellow Tanzanians".

Chadema's operations, he said, were financed with contributions from the party's leaders and members besides the official subsidy it gets from the government.Mr Mbowe accused senior government officials of giving "rather simple answers to serious national questions and shifting their fears to the general public".

Last week, Chadema's director of Foreign Affairs and International Cooperation, Mr John Mnyika, who is also the Ubungo MP, told a press conference in Dar es Salaam that on several occasions, Ms Simba had been reported on television, alleging that the party was being funded by some EU countries "to make the country ungovernable".

Contacted for comment, Ms Simba, speaking by telephone from Dar es Salaam, said: "I don't know where these claims against me have come from. Chadema has invented the allegations against me for their own good."

She added: "There is no way I could have made such allegations because I don't have access to any of the EU member countries." Ms Simba, who is also the Minister for Community Development, Gender and Children, confirmed that Mr Clarke had also contacted her about the claims."I told Ambassador Clarke that I don't know anything about those claims. That's all," said Ms Simba, when reached by telephone last week.

Mr Mnyika said Ms Simba had been quoted on three occasions, making false claims against Chadema. He said that the state-owned Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) on March 7 quoted Ms Simba, as urging women not to take part in the Chadema demonstrations, alleging that some people had been bribed to participate in rallies aimed at instigating chaos.

The Ubungo MP said Chadema's legal department, headed by Mr Tundu Lissu, the party's Singida East MP, was pursuing legal action over the claims attributed to Ms Simba.Mr Mnyika also took issue with claims by Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe that some European countries had been financing an opposition party, he did not name, to cause chaos in the country.

"This is a very serious allegation because it violates the Constitution as well as international law. It is necessary that the minister names the culprits…I am sure even the international community will demand this information from the minister," Mr Mnyika said.* He challenged Mr Membe to name the party and disclose the amount of money it had allegedly been given as well as the countries behind the alleged plot.

Accusing CCM of spreading propaganda to incite the people against his party, Mr Mnyika said Chadema was the first opposition party to react to Mr Membe's claims "due to the sensitivity of the matter".

He added: "Firstly, they propagated claims that Chadema was a tribal party. Secondly, they claimed that the party was a religious organisation; and thirdly, they said that we were committing treason by doing what we are doing. After realising that nobody was believing them, they have now come up with yet another lie."

According to Mr Mnyika, the statements allegedly made by Ms Simba and Mr Membe were proof that CCM was in a panic, as it was losing its political ground. "These claims should be made by the CCM propaganda department and not by Cabinet ministers. They should be more concerned about how much the lives of ordinary Tanzanians have become very difficult."

He said they would not appeal to the Registrar of Political Parties, Mr John Tendwa, over the matter because they had lost confidence in him, following his recent biased handling of issues concerning Chadema.

Mr Mnyika said Mr Tendwa had written to Chadema, accusing the party of violating the Constitution by organising the just-ended public rallies in the Lake Zone without giving them a chance to be heard, as required by the Political Parties' Act.

Chadema, he vowed, would carry on with its public rallies and demonstrations in other parts of the country until solutions to the issues they were complaining about were found.

He denied that Chadema had suspended the demonstrations following a warning by President Jakaya Kikwete

Source: The Citizen
 
Saaafii sana!!
Ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe ya uropokaji. Ye anafikiri kila kitu ni mipasho.
 
Mkuu mbona hii thread ni incomplete?
Eu imesemaje, juu ya nini , nani kasema , si wote wenye acess na Citizen.Uki quote verbatim itasaidia kueleweka.
 
yamtaka Sophia Simba atoe maelezo juu ya shutuma hizo- The Citizen

POLENI wana ccm ambao mnadhani kila mlisemalo watu wanawasikiliza SOFIA SIMBA Hajui kama wananchi hawamtaki eti atapambana na CDM ole wake hao mabwana zake wanaompa kichwa.sio kila siku ni jumapili wajibu EU sasa.
 
...kudadadadeki lazima period irudi kama alikuwa kwenye menopause!! watu wako serious yeye analeta mipasho yake!! anafikiri kila sehemu ni kikao cha UW-CCM (Umoja wa wanawake wa ccm) ambapo wanatukanana kama wavuta bangi. Aandae statement ya kina kwa EU then aandae hoja za CDM mahakamani. Masikini, anatia huruma huyu mama!! Sipati picha , matundu ya pua yake yataongezeka kwa milimeta ngapi siku hiyo mahakamani!!
 
hili nyambizi linamatatizo sana .... haya apambane na hao wababe sasa .... watamuwekea no fly zone resolution nyumbani kwake
 
kosa la huyu mama (CCM) ni kuingiza mataifa ya nje kwenye siasa chafu dhidi ya CHADEMA. wamejaribu kila mbinu dhidi ya CHADEMA, hazijafabikiwa kwa kiasi walichotegea, kama vile
-CHADEMA chama cha kikabila , WACHAGA
-CHADEMA chama cha kidini, WAKATOLIKI
-CHADEMA kinachafua amani nchini, kutoa serikili kwa nguvu

sasa wameona waguse na nchi za ulaya, mara mia wangesingizia nchi za africa, au Asia hata South America, wenyewe wameenda europe , mhhh

na mimi nawalaumu CCM kama chama, huyu mama hatakiwi kuongea mbele ya watu, ni bora aongee kwenye vikao tu huku milango imefungwa.
Sidhani kama hua anachambua mambo yake kabla hajaongea, na haya yote siamini yeye ndio amefikiria na kuongea, lazima kuna vilaza zaidi nyumba yake ndio wamemshauri , na yeye akabeba kama vilivyo.
 
...kudadadadeki lazima period irudi kama alikuwa kwenye menopause!! watu wako serious yeye analeta mipasho yake!! anafikiri kila sehemu ni kikao cha UW-CCM (Umoja wa wanawake wa ccm) ambapo wanatukanana kama wavuta bangi. Aandae statement ya kina kwa EU then aandae hoja za CDM mahakamani. Masikini, anatia huruma huyu mama!! Sipati picha , matundu ya pua yake yataongezeka kwa milimeta ngapi siku hiyo mahakamani!!

Mkuu hapo kwenye color umeua!
 
kosa la huyu mama (CCM) ni kuingiza mataifa ya nje kwenye siasa chafu dhidi ya CHADEMA. wamejaribu kila mbinu dhidi ya CHADEMA, hazijafabikiwa kwa kiasi walichotegea, kama vile
-CHADEMA chama cha kikabila , WACHAGA
-CHADEMA chama cha kidini, WAKATOLIKI
-CHADEMA kinachafua amani nchini, kutoa serikili kwa nguvu

sasa wameona waguse na nchi za ulaya, mara mia wangesingizia nchi za africa, au Asia hata South America, wenyewe wameenda europe , mhhh

na mimi nawalaumu CCM kama chama, huyu mama hatakiwi kuongea mbele ya watu, ni bora aongee kwenye vikao tu huku milango imefungwa.
Sidhani kama hua anachambua mambo yake kabla hajaongea, na haya yote siamini yeye ndio amefikiria na kuongea, lazima kuna vilaza zaidi nyumba yake ndio wamemshauri , na yeye akabeba kama vilivyo.

Huyu mama anatakiwa awe anafungiwa chumba kimoja na Makamba waongee.
 
Hivi huyu mama ana watoto?........................... huwa nakihurumia sana kizazi chake kama kipo never her!!!
 
Hiyo habari ya EU wapi ambapo EU wamesema hayo madai ni uwongo (lie)?

Pia tafsiri kwamba huyo balozi wa EU atawasiliana na Simba KUMTAKA atoe maelezo juu ya shutuma hizo nayo sio tafsiri sahihi ya habari. Tafsiri halisi ni kwamba balozi atawasiliana na simba ili kujua/ kupata ukweli wa chanzo cha madai yake.

Hakuna sababu ya kuongeza maneno yetu kwenye habari ambayo tunaweza kuituma kama ilivyo.
 
Mkuu mbona hii thread ni incomplete?
Eu imesemaje, juu ya nini , nani kasema , si wote wenye acess na Citizen.Uki quote verbatim itasaidia kueleweka.
Chadema funding claim a lie, says EU Send to a friend Wednesday, 23 March 2011 23:25 digg

By Lucas Liganga,
The Citizen Chief Reporter
Dar es Salaam. The European Union (EU) is investigating claims by an official of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) that five of its member countries are financing Chadema to instigate chaos in the country.The EU head of delegation in Tanzania, Mr Tim Clarke, said he would contact the CCM women's wing chairperson, Ms Sophia Simba, to establish the basis of her recent remarks on the alleged financial support to the opposition party.

"I have no idea where these allegations have come from," Ambassador Clarke said in an interview with The Citizen.
"As far as my own institution (EU) is concerned, I can categorically state that we have not, nor will we fund any individual political party in Tanzania," the EU envoy stated.
 
Hiyo habari ya EU wapi ambapo EU wamesema hayo madai ni uwongo (lie)?

Pia tafsiri kwamba huyo balozi wa EU atawasiliana na Simba KUMTAKA atoe maelezo juu ya shutuma hizo nayo sio tafsiri sahihi ya habari. Tafsiri halisi ni kwamba balozi atawasiliana na simba ili kujua/ kupata ukweli wa chanzo cha madai yake.

Hakuna sababu ya kuongeza maneno yetu kwenye habari ambayo tunaweza kuituma kama ilivyo.

She added: “There is no way I could have made such allegations because I don’t have access to any of the EU member countries.” Ms Simba, who is also the Minister for Community Development, Gender and Children, confirmed that Mr Clarke had also contacted her about the claimsI told Ambassador Clarke that I don’t know anything about those claims. That’s all,” said Ms Simba, when reached by telephone last week.
 
Hiyo habari ya EU wapi ambapo EU wamesema hayo madai ni uwongo (lie)?

Pia tafsiri kwamba huyo balozi wa EU atawasiliana na Simba KUMTAKA atoe maelezo juu ya shutuma hizo nayo sio tafsiri sahihi ya habari. Tafsiri halisi ni kwamba balozi atawasiliana na simba ili kujua/ kupata ukweli wa chanzo cha madai yake.

Hakuna sababu ya kuongeza maneno yetu kwenye habari ambayo tunaweza kuituma kama ilivyo.
But the story remains the same kwamba EU have denied the claims.
 
Back
Top Bottom