EU agrees that all indications on Syria chemical attack points to Assad

EU agrees that all indications on Syria chemical attack points to Assad

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
The European Union agreed on Saturday that the Aug. 21 chemical attack outside Damascus appears to have been the work of Syria’s regime, but that any potential military attack against it should wait for a U.N. inspectors’ report.

After meeting with U.S. Secretary of State John Kerry, the EU ministers ended days of division on the issue with a statement saying the available intelligence “seems to indicate strong evidence that the Syrian regime is responsible for these attacks.”

Lithuanian Foreign Minister Linas Linkevicius, who hosted the meeting, put it more bluntly in targeting Syrian President Bashar Assad, speaking of “more and more evidence that the Assad regime is behind all these crimes. We can’t just ignore this.”

Read more: http://www.washingtonpost.com/world...e30420-17b0-11e3-961c-f22d3aaf19ab_story.html
 
Hii kitu ipo wazi ni Utawala wa Assad ila tatizo ni Russia anamaslai na Syria
 
Bado wanatafuta kuhalalisha vita, lakini bado naona kuna zaidi kinatafutwa hiyo ni kama chambo tu. Sawa Rusia anaweza kuonyesha upinzani kwa sababu za maslahi yake kuguswa, lakini itakuwa ngumu kumshawishi US asishambulie Syria.
 
Last edited by a moderator:
Propaganda za vita ni Nyingi Sana ila Russia ndie mzuiaji mkuu hutaki au vipi? Na naniyupo behind m23 kule Congo? hapa ni kusubiri kichapo hujasikia king wa Jordan katoa order makanali 6 kwa kutoa habari za uongo kwa CIA ? Wacha niitafsiri nitaitupia soon....

Kweli Propaganda za vita ni nyingi . Kama una kumbukumbu, kumbuka Propaganda waliyofanya US, UK; France na Nato kuanzisha vita katika nchi ya Iraq, Afghanistan, Libya. Pia vipi wanatengeneza mazingira ya kuanzisha vita Syria na Iran. Au kumbukumbu zako ni Kwa propaganda za Russia tu? Unaelewa watu wangapi wamekufa na wanaendelea kufa Iraq ambayo ilivamiwa na kusambaratishwa na US na colition of the willing Kwa kutumia uongo na propaganda?
 
Propaganda za Russia pekee? nope mimi sihesabu watu wangapi wamekufa... mimi Napenda Kutizama vita vya Live..... So Nahamu sana vita vipigwe tu watu hawana Adabu... Maasi yamezidi mno.... nataka nione Silaha mpya zinavyofanya kazi... bomu linachimba shimo kubwa sana... yaani hadi raha...

I can't wit to see Nuke War
 
Kuna siku watajaribu hizo silaha zao mpya kwako na kwenye mwili wako (yaani Hadi uone raha!)
 
Propaganda za Russia pekee? nope mimi sihesabu watu wangapi wamekufa... mimi Napenda Kutizama vita vya Live..... So Nahamu sana vita vipigwe tu watu hawana Adabu... Maasi yamezidi mno.... nataka nione Silaha mpya zinavyofanya kazi... bomu linachimba shimo kubwa sana... yaani hadi raha...

I can't wit to see Nuke War

Watoto wa zinaa ni janga kwa taifa!
Ni kawaida ya mtoto asiyemjua baba yake kuropoka!
Mi ntamlaumu mama aliyekuzaa kucheza faulo kabla ya ndoa!

Na mtu akikulaumu ni kama anakuonea tu!
Kwa hivyo we endelea kuropoka lkn jaribu kutumia kiswahili tu!
Ukichanganya na lugha za wakoloni utazidi kujiadhirisha!

"YOU CANT WIT" my foot!!
 
Back
Top Bottom