Etv-south africa

Etv-south africa

Kibwangai

Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
37
Reaction score
4
Wana Jf naomba frq za ETV pamoja na code zake natumia Mediacom 950+new,nilikuwa nayo mwanzoni lkn ilikuja potea baadae
 
mkuu unataka kucheki ving'oko weekend sio,maana hao jamaa kuanzia ijumaa mid night ni x rated movie tu,nway watakuja watalaam wa kuhack frq
 
mimi natumia startimes lakini napata etv newz ile nyingine sipati na mimi naomba kujulishwa katika hili wadau
 
Hiyo risifa yako imepitwa na wakati wale jamaa wanatumia mfumo wa nagravishen 3 .na risiva zetu ni nagravishen 2 .kwa sasa kuna dekoda zao zinauza zinaitwa top tv unalipia kwa mwezi
 
Hiyo risifa yako imepitwa na wakati wale jamaa wanatumia mfumo wa nagravishen 3 .na risiva zetu ni nagravishen 2 .kwa sasa kuna dekoda zao zinauza zinaitwa top tv unalipia kwa mwezi

Hizo dekoda zinapatikana wap na bei yao kwa mwezi ikoje?
 
Kaka huwezi pata etv kwenye media com nunua tu decoder
 
Decoda ipi (jina)sh ngapi?na frq na code zake-kuna kipindi flan nilisikia dstv wana uza chnl 25 kwa sh 13500 vp nikinunua hii kuna uwezekano wa kupata etv
 
Back
Top Bottom