Etiiiiiiiiiiiii Uvaaji wa nguo usiku hupunguza kasi ya.............

bila nguo kabisa!!!, hapana, kuna night dress nzuri ambazo hata mwenzio akikuona anasisimka, sio uchi tuu mpaka hamu inapotea

:nono: sasa siku nzima abdallah kichwa wazi umemkunja kwenye boxer na usiku pia?
 
bwana mie napenda kulala uchi uchiiiii....utamu wa zero distance hauwezekani kama umevaa ma Pj ya flanel etc.....
 
manguo cku nzima mpka ucku? kwann mlale na nguo, chupi yenyewe cvai labda niwe kilimani, hata yeye hana ruhusa.
Nyamayao, ndo maana sioni night dress humu ndani, kumbe wazificha :thinking:
 
Nyama yao upo sahihi, ila isiwe kila cku bwana, au nguo zenu mziweke karibu karibu bwana incase of anything.Kuwa open kitandani ni vema ndo mnaenjoy maana nguo nguo hizo zinasumbua saana aisee
 
Mi wife wangu anitendei haki.analala na jinc iliyombana.
 
usually my GF ananunua Large night dress mm nalala ndani pia ya hiyo night dress, i am serious, naifunua naingia ndani huyooooooooo kuelekea hell, motoni, nikishtuka asubuhi, nasali na kutubu kabla ya kuja tena duniani, mm nazamiaga narudi asubuhi maana naenda mbaliiiiii moto mkali huko usiombe, **** balaaa, aaaaaaaaaahhhhhhhhhh
 
usually my GF ananunua Large night dress mm nalala ndani pia ya hiyo night dress, i am serious, naifunua naingia ndani huyooooooooo kuelekea hell, motoni, nikishtuka asubuhi, nasali na kutubu kabla ya kuja tena duniani, mm nazamiaga narudi asubuhi maana naenda mbaliiiiii moto mkali huko usiombe, **** balaaa, aaaaaaaaaahhhhhhhhhh

hii kali!!!!!! na mimi ngoja nijaribu nione huko motoni pakoje.
 
Mi wife wangu anitendei haki.analala na jinc iliyombana.
Pole ndugu yangu .........huyo katoka Beijing juzijuzi nadhani ............ maana nasikia
wanasema kuna kubakwa na mwanandoa mwenzio ...........:sad:
 
hapana inaongeza kasi kwa mimi ninavo ona maana liletendo linaraha yake uanze kwa kumvua mwenza wako nguo mdogo mdogo uku unampika kiss na yeye mwenye anakuvua mdogo mdogo mpaka unafika pale paala unaanza mambo ina raha kishezi sio mnalala uchi ukijisikia unamrukia mkeo sio poa coz wanawake wanafil stimu kwa kushikwa shikwa na ni vizuri wote mridhike co wewe baba 2 ndo unaridhika maana ukikurupuka kwa kum....hata ridhika lbd ukae juu kwa muda mrefu....

Hivi kuna fomula ya kuanza etiieeeeeeeeee. Yaani unaanza na denda halafu mnavua ama? Eti hii fomula jama ikoje? Mi mahesabu ya kutumia fomula siyajui
 
Kama ulivyozaliwa ni vizuri sana kuna wakati mwingine sexy nighties zinalipa lakini baada ya shughuli hakuna kuvaa tena ndio mpaka asubuhi.

na kama kuna beef siku hiyo nalala na pj za cotton trouser na long sleeved shirt.
 
Back
Top Bottom