Dar es Salaam in Kenya? Wow!
Duh hii kali, walianza kutuibia mlima wetu sasa wamefikia kuiba Dar es salaam nzima. Hawa jamaa wezi kweli kweli, hata kule baharini nashawishika kukubaliana na Somalia kabla hata ya hukumu!:A S wink:
Usisahau hata nyumbu, halafu Wamaasai wanaofahamika ni wetu, aha!! shamba la bibi, niliona Wachina wanabeba meno ya simba na kuwaacha vibogoyo hao Simba, yaani hili lilinichekesha sana badala ya huzuni.
By the way Obama when he visited tz, medias abroad were announcing that "President Obama has visited Tanzania, southern neighbor of Kenya"
1. Tumeshawapita kwenye utalii, so wamasai, mlima kilimanjaro etc, havina uzito wala nini kwa sasa mnajulikana kwa westgate na al-shabaab, kuchinjana kwenye uchaguzi n.k
2. shamba la bibi ndilo linalowasuluhisha nyinyi "wajanja" mnapopigana kwa ajili ya uchaguzi, hivyo weka heshima. Mkishapigana kwa ukabila wenu mtakimbilia wapi next time?
3. Kuhusu Obama, nyie ndio washamba mlioweka holiday eti mnashangilia ushindi wa Obama, anawahusu? Obama mwenyewe alivyokuja Tanzania cheki mlibaki mnalia eti "kwenyu ni kwenyu"! hahahahaha! Obama kaangalia wapi kwenye maana mkuu.
[video=youtube_share;6XYObsuYEYc]http://youtu.be/6XYObsuYEYc[/video]
Cheki hadi rais wenu anatambua mbuga za maana ziko wapi, ushawahi muona kikwete anakuja kula holiday masai mara au mombasa?
Cheki watu wazima tunavyokuja kuwasuluhisha "manyangau" msichinjane kwa mambo madogo madogo.
kijana, Tiizedi iko juu take usitake, we unadhani kudai mlima uko kwenu, au Dar iko kwenu ni nini? siku zote watu duni ndio hujiita majina ya watu wakubwa, mtu atajiita jayZ, Bill gate, Dangote etc, hakuna mtu atajiita Lawmaina! vile vile nchi duni ndio huwa zinajifananisha na nchi kubwa, mfano ndugu zako huwa wanadai eti Kigali ni dubai ya africa etc, hivyo haishangazi nyinyi kujifanya mlima uko "kwenyu", Dar iko "kwenyu"!...maana yake sisi tuko juu!
did you know that you have more masai in tz than in kenya?hao masai unaowajua wee hawapo tu arusha and manyara, you will even find them in sumbawanga and mtwara grazing their cattle. ukienda iringa kuna maeneo kabisa waswahili hawapo huko ilambilore, ukienda dodoma ni wengi sana. so sidhani kama wamasai ni wakenya zaidi kuliko watz. au labda sikukuelewa.Usisahau hata nyumbu, halafu Wamaasai wanaofahamika ni wetu, aha!! shamba la bibi, niliona Wachina wanabeba meno ya simba na kuwaacha vibogoyo hao Simba, yaani hili lilinichekesha sana badala ya huzuni.
By the way Obama when he visited tz, medias abroad were announcing that "President Obama has visited Tanzania, southern neighbor of Kenya"
Nahisi hujamuelewa lawmaina78 yeye amesema maasai wanaofahamika, hajaongelea wingi.did you know that you have more masai in tz than in kenya?hao masai unaowajua wee hawapo tu arusha and manyara, you will even find them in sumbawanga and mtwara grazing their cattle. ukienda iringa kuna maeneo kabisa waswahili hawapo huko ilambilore, ukienda dodoma ni wengi sana. so sidhani kama wamasai ni wakenya zaidi kuliko watz. au labda sikukuelewa.
We sijui utakua lini,kutwa kuisifia Kenya.Nchi yenyewe mumewamilikisha wazungu nyie mmebaki cheap labour,wengi wenu mumekuja Tz kupata unafuu ndio mmejiona mko mbele kwa kila kitu.jMali
- Tumepitwa kwenye utalii kwa ajili ya mabomu, ni kwamba tumejikwaa lakini tukiinuka, bado hamjaenda mbali tutawakuta tu
- Kupigana kwetu kuna umuhimu sana, yaani nchi ya wajanja, wanahoji kila kitu. Imetuwezesha kupata katiba bora Afrika, Watz wapo wapo tu bado wanahoji eti posho ya bunge la katiba.
- Aha! punju ni punju kama hukuelewa nilichomaanisha hapo kwa taarifa kuhusu Obama, umekurupuka na kukusanya kila kitu.
- Zaidi, huwezi wezana na ujanja wa Wakenya, ujio wa Obama, aliingia Dar na ku-dance, mkafagia barabara zote halafu akaahidi kuzindua mradi mkubwa wa umeme. Mwishoye ametimiza ahadi kwa kuifanya Nairobi makao makuu ya huo mradi.
We sijui utakua lini,kutwa kuisifia Kenya.Nchi yenyewe mumewamilikisha wazungu nyie mmebaki cheap labour,wengi wenu mumekuja Tz kupata unafuu ndio mmejiona mko mbele kwa kila kitu.
Mnapata shida sana Tanzania ikifanikiwa?nenda kwenye forum za Wakenya tuache sisi huku na Forum zetu.Unaingilia mambo ya ndani kwetu yanakuhusu nini?Eti hadi tunashindania idadi ya wamasai.For what,utakuja kuesema tena mnatuzidi wajaluo,wachaga n.k You idiot
Usisahau hata nyumbu, halafu Wamaasai wanaofahamika ni wetu, aha!! shamba la bibi, niliona Wachina wanabeba meno ya simba na kuwaacha vibogoyo hao Simba, yaani hili lilinichekesha sana badala ya huzuni.
By the way Obama when he visited tz, medias abroad were announcing that "President Obama has visited Tanzania, southern neighbor of Kenya"
Una akili za kitoto sana wewe dogo
Rusha matusi tu, nikiyajibu wenzio wasilalamike.
Duh hii kali, walianza kutuibia mlima wetu sasa wamefikia kuiba Dar es salaam nzima. Hawa jamaa wezi kweli kweli, hata kule baharini nashawishika kukubaliana na Somalia kabla hata ya hukumu!:A S wink:
Are you sure? Sample this. They are about 52% in Kenya and 48% in Tanzania.did you know that you have more masai in tz than in kenya?hao masai unaowajua wee hawapo tu arusha and manyara, you will even find them in sumbawanga and mtwara grazing their cattle. ukienda iringa kuna maeneo kabisa waswahili hawapo huko ilambilore, ukienda dodoma ni wengi sana. so sidhani kama wamasai ni wakenya zaidi kuliko watz. au labda sikukuelewa.
Hey Mkuu, are you at pains to explain yourself? Why the strong language?We sijui utakua lini,kutwa kuisifia Kenya.Nchi yenyewe mumewamilikisha wazungu nyie mmebaki cheap labour,wengi wenu mumekuja Tz kupata unafuu ndio mmejiona mko mbele kwa kila kitu.
Mnapata shida sana Tanzania ikifanikiwa?nenda kwenye forum za Wakenya tuache sisi huku na Forum zetu.Unaingilia mambo ya ndani kwetu yanakuhusu nini?Eti hadi tunashindania idadi ya wamasai.For what,utakuja kuesema tena mnatuzidi wajaluo,wachaga n.k You idiot
That is not a Kenyan news source, it is South African. Please blame them not Kenya.