Eti yaishe, kuna nini nyuma ya pazia?

Eti yaishe, kuna nini nyuma ya pazia?

she is not good kabisa,akija atakua mpole for sometime na atarudia tabia hizo,your relationship will not last longer,awe tu rafiki yako,i have a practicle experience na hii kitu,si wema wa hivyo,alikuachabila sababu,hata sasa amukuja bila sababu,na soon ataondoka bila sababu tena!

nimekupata m2 wangu,
 
Huyo ni malaya na hana msimamo alidanganywa alafu akaachwa .Nakuomba umwache kwa nguvu zote.Hakupendi,hajaridhika na wewe anakufanya wa kuzuguia akiwa anatafuta wa kudumu.

ushauri wako naufanyia kazi, nafuta hata namba yake.
 
Kabla sijakujibu au kushauri labda nikuulize maswali yafuatayo
  • SMS alikutumia lini na mmekaa muda gani bila mawasiliano? Jumapili jioni .....
  • Uliwahi kusikia fununu yoyote kuwa alikuwa na mtu kabla ya kukutumia sms ya kusitisha mawasiliano? sijawahi sikia akiwa na m2 yeyote, japo w/end anapenda sana kwenda club
  • Kuna ugomvi au hali ya kutoelewana iliyotokea kabla ya hilo tukio? Ugomvi haukuwepo, zaidi ya kunitumia sms kwamba haitaji mawasiliano na mimi tena
  • Alitoa sababu gani ya kukata mawasiliano? Alidai hajisikii kuendelea nami eti kisa niko bize sana na kazi badala ya kuwa bize na penzi letu
  • Anaomba umsamehe mmrudiane kwa kosa lipi alilolifanya? Mwenye kosa ni yeye ndo maana anaomba nimsamehe

Majibu yako kwenye red fonts
 
Nimekuwa na mahusiano naye kwa kipindi cha karibia mwaka mmoja, ghafla akanitumia SMS kwamba haitaji tena mawasiliano nami, nikajaribu kumbembeleza akakomaa na msimamo wake. Nami nikakubali matokeo,

Nimeshangaa kanitumia sms eti nimsamehe, tuendelee na mapenzi, najiuliza ni kwa nini arudi mwenyewe?
Huyo kuna mtu alimpata inawezekana ana fedha kushinda wewe ,akaona ashapata bingo(si unajua wadada wana expect much-especially wakidanganywa) alipoingia kwa huyo jamaa akaona maji ya shingo whether wamem cheat,au jamaa ana malengo naye akaona bora arudishe majeshi.be catious na wadada namna hiyo she can do again next time
 
Nimekuwa na mahusiano naye kwa kipindi cha karibia mwaka mmoja, ghafla akanitumia SMS kwamba haitaji tena mawasiliano nami, nikajaribu kumbembeleza akakomaa na msimamo wake. Nami nikakubali matokeo,

Nimeshangaa kanitumia sms eti nimsamehe, tuendelee na mapenzi, najiuliza ni kwa nini arudi mwenyewe?

Hiyo ni kawaida kwa smolihausi kutikisa kiberiti.... :smile-big:
 
Mpe nafasi ajieleze umsikie nae upande wake kasha ukishindwa kuamua Binamu Tutor B njoo tena jamvini. Pengine nawe ulichangia pasipo kujua..............
 
Last edited by a moderator:
"You ain't nobody's Plan B." -Swoozie (Youtube)

She made the decision and it was the wrong one.

You have moved on, and should not take her back. Her problem, not yours.

hajamove on sana bado. Jumapili tu hata maumivu hayajaisha isitoshe leo alhamisi na hiyo meseji si ajabu ametumiwa jana ya kuombwa msamaha. So bado kuna kanafasi ka kurudiana na kusahau yale maumivu ya usiku 3 zilizopita.
Tehe tehe tehe tehe tehe
 
a u speaking from direct first hand experience ama induced experience?

Heee... we wa wapi wewe??? Hivi kwa mfano mtu akisema "Hiyo ni kawaida kwa wachawi kuvaa kaniki nyeusi" je atakuwa ni mmoja wa wachawi??
 
Heee... we wa wapi wewe??? Hivi kwa mfano mtu akisema "Hiyo ni kawaida kwa wachawi kuvaa kaniki nyeusi" je atakuwa ni mmoja wa wachawi??

Vinaswali vyako nawe! nimekusoma mwanakwetu
 
Back
Top Bottom