Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
Kwanza neno haka hilo kwanini likushughulishe? hujawahi kulisikia au hukulitarajia kwa sasa kutoka kwake?
Ebu jiulize nafsi yako bado na wewe moyo unakudunda na unashauku ya kutaka kujua ebu achana nae mpuuze na mdharau ebu jikazeeeeeeeeeeeeee....
This is it!
Looks like amefurahishwa kumissiwa na yuko one step kurudiana; why asking for detail about? I am sure mwanaume alikuwa anataka kupata reaction yako, ili ukilegea tu mrudiane akutende one more time!