..eti x-ameni-miss....

..eti x-ameni-miss....

Unajua playboy akichapa demu anatimua, akifika wa 7 sasa anapata hisia za wa kwanza, anahisi ilikuwa na siagi labda. Uamuzi unao mwenyewe, ushauri tulishakupatia.
 
umeongea la msingi sana mkuu, yawezekana anataka nimpe kitumbo halafu aanze kunikera haswaaa simkubalii

Ni balaa,hakuna mateso kama kupata mtoto na mtu ambae
hutarajii kumuoa na wala hafanani na mke unae tarajia awe na sifa
zipi.Ina tisha sana
 
..wana jamvi habarini za leo...!!!! kuna wakati fulani niliwahi kuomba ushauri hapa, nilikorofishana na aliyekua BF wangu..nashukuru sana wana jamvi ushauri wenu umenisaidia sana kwani kwa sasa nmeweza kusimama imara na nmemtoa mawazoni japo salaam za kawaida zina exist. kituko kinakuja sasa hivi karibuni kanieleza eti "ameni-miss"..... hebu nisaidieni hapo maana anaulizwa umemiss nini anajiumauma tu....haeleweki...nimueleweje huyu kiumbe anataka kuniumiza tena? au ndo hatua za kuanza kulilia 2nd chance? sielewi...!

May be alikoangukia siko so anataka nafasi nyingine, muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzako
 
Back
Top Bottom