Eti, WiFi ya Dreamliner inapatikana kwenye injini? Mbona ni ukarabati wa injini au ndio service?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1534475316543.jpg


Kimaro hebu Leta spana namba saba hapo fasta. Mwambie Kidosa atazame kama kabreta ina vuja, acheki na maji kwenye rejeta Na kama rejeta inavuja, ampe kidosa arekebishe.

Usisahau kumwambia lyimo naye acheki matairi kama yana pancha.

Haki ya mama Kimaro Leta hiyo spana basi aisee!!! Unachelewa bwana, we niaje niaje.

As copied
The Boeing aircraft "The Dreamliner" owned by the limping Air Tanzania Corporation is said to be basically unairworthy and that those wishing to travel with it are doing so at their own risk.

It's obvious that the aircraft is damnly expensive to buy when considered brand new and it defeats common sense to imagine how a poor country like Tanzania that wholly depends on the handouts can afford to buy one.!!

It doesn't need one to scratch his mind to come to the conclusion that the aircraft bought is not the new one as the government insists but the aircraft is one of those long grounded by one of the operators in the American aviation industry.

For those Thomases who doubt the veracity of this assertion, it's time that will settle the argument. The WI-FI theory had been coined merely to mask the presumed mechanical fault.
 
Mkuu inawezekana ni routine ndege ikitoka safari wanafungua kuangalia vitu kwenye injini, ni kama kufungua boneti ya gari kuangalia kama huko ndani kupo sawa. Wenye uelewa zaidi wanaweza kuja kutudadavulia hapa
 
Tusiopenda maendeleo tutapata tabu sana, mbona haujaweka source kuwa inatengenezwa WiFi, kwa mafunzo madogo ya udereva ni kuwa, kabla haujawasha gari asubui baada ya mizunguko ya jana yake ni vyema ukaangalia haya; oil, maji, taili kama zimekazika vizuri, je taa zinawaka, breki hazina tatizo, nk kwa uchache tu.
 
Ukiangalia vizur hiyo picha ni ya huko kiwandani.Hawa jamaa mwisho watageuka wachawi kwa hizi chuki.
 
Ukiangalia vizur hiyo picha ni ya huko kiwandani.Hawa jamaa mwisho watageuka wachawi kwa hizi chuki.
Duuuuhhh.

Kutetea huu utawala ni kazi kubwa sana.

View attachment 770103

Halafu, hao wanaoifuata hii Dreamliner watuambie ukweli, unaweza kweli kupata dreamliner mpya kwa order ya miaka miwili tu? Yaani ukae miaka miwili na utengenezewe dreamliner mpyaaa wewe mteja wa ndege moja, wakati kuna wenye order za ndege 100 bado wako kwenye foleni? Tuangalie tusije tukapewa zile "reject" za majaribio,na kwa kuona tumekubali hata "reject" wakaamua kutupoza na moja ya "nyongeza", maana nimeona kuna clip Rais anasema tulipoagiza hiyo moja, wameamua kutupa na moja ya "nyongeza".

Bora haya mambo tuyaseme mapema,ili tusije tukapeana lawama huko mbele ya safari,maana mzee mwenyewe anasema, msema kweli ni mpenzi wa Mungu. This "haterogenious fleet" is going to kill our dreams




[HASHTAG]#ATCL[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TheWingsOfTheKilimanjaro[/HASHTAG]
barafu wa Jf [HASHTAG]#Toronto[/HASHTAG]

barafu alionya namna hii
 
Back
Top Bottom