Eti wazanzibar? ndio wanaohusika? Are you seriously?

Je, Wazanzibari Wamehusika?

"Kuangalia tatizo bila kuona ukweli wote ni kama kujaribu kupiga msumeno ukiwa na mwinuko mmoja tu."

Kuna mjadala mkubwa unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yaliyojiri Oktoba 29, kabla na baada ya siku hiyo. Mojawapo ya hoja zinazojitokeza ni kwamba matatizo ya Tanzania Bara yanatokana na Zanzibar, na si kutoka ndani ya Bara yenyewe. Hoja hii imenichokoza sana. Hebu tuangalie kwa mifano halisi.

Bunge la Jamhuri ya Muungano

Bunge la Tanzania lina takriban asilimia 99 ya wabunge ambao ni Watanzania Bara, wakiwemo Spika, Naibu Spika, Katibu wa Bunge, na wabunge wengine wote. Pia, karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge ni Watanzania Bara.

Hoja: Je, Wazanzibari wanahusikaje hapa?

Jibu: Hakuna ushahidi unaoonyesha Zanzibar inaathiri uendeshaji wa Bunge.

Je, bunge lililo na takriban 97% ya Watanzania Bara litapaza sauti kuhusu yaliyojiri Oktoba 29 na kuwa upande wa kulaumu Zanzibar? Ngoja tuone.

Vyombo vya Habari

Asilimia 99 ya wahariri wa vyombo vya habari nchini ni Watanzania Bara. Taasisi zote kubwa za habari, zikiwemo MOAT na Jukwaa la Wahariri, zinaongozwa na Watanzania Bara.

Hoja zinazoulizwa: Je, ina maana wameshikwa kiakili na Wazanzibari?

Jibu: Vyombo vya habari vinaongozwa na Watanzania Bara; hivyo basi, Wazanzibari wanahusikaje?

Madai ya Askari wa KMKM

Kuna madai kwamba askari wa KMKM waliletwa Tanzania Bara ili kuzuia vurugu. Lakini kumbuka: askari wa KMKM Zanzibar hawazidi 5,000. Tuseme hata kama walioletwa Bara ni mia moja (100), je, inawezekana hawa watu 100 waliweza kuzunguka nchi nzima?

Mfano: Wako Mwanza, wakaja Manzese, Arusha, Mbagala, Katoro, Mara, Shinyanga, kisha wakarudi Ubungo na Goba.

Hilo linaingia akilini kweli? Jamani, tumuogopeni Mungu.

Mahakama

Asilimia 99 ya majaji ni Watanzania Bara, na labda 1% tu ndio Wazanzibari. Je, inawezekana kwamba 1% hii ingeathiri kesi kubwa kama ile ya Lissu au zile zinazohusu Chadema?

Hitimisho: Hoja kwamba Zanzibar inahusika kimsingi katika Mahakama ya Taifa haina msingi wa kweli.

Wafanyakazi wa Serikali

Takribani asilimia 95 au zaidi ya wafanyakazi wa Serikali Bara ni Watanzania Bara. Je, ina maana Zanzibar inahusika katika mambo yanayotokea Bara?

Jibu: Idadi ndogo ya Wazanzibari haiwezi kuwa na mchango mkubwa wa kitaifa kwenye uendeshaji wa Serikali Bara.

Wizara ya Fedha

Waziri, makatibu wakuu, na karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wote wa Wizara ya Fedha ni Watanzania Bara.

Swali: Je, Wazanzibari wanahusika vipi?

Jibu: Hoja kwamba Zanzibar inafaidika zaidi chini ya utawala wa Dkt. Samia inahitaji ushahidi zaidi.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Msajili, wasaidizi wake, na wafanyakazi wengine wote kwa asilimia 99 ni Watanzania Bara.

Hoja: Hii ina maana Mpina alizuiliwa kwa shindiko kutoka Zanzibar?

Jibu: Hakuna ushahidi wa kuunga mkono hoja hiyo.

Hitimisho

Watanzania Bara, tujiulize tulipoanguka; tusilaumu Wazanzibari. Haiwezekani kuwalaumu watu milioni moja dhidi ya watu milioni sitini wa Bara.

Kama hoja hiyo ingekuwa kweli, basi hawa Wazanzibari milioni moja wangekuwa watu wenye akili ya kipekee — magenius wa hali ya juu!

Watanzania Bara, tuangalie tulipoanguka, tusiwabebeshe lawama
Watu wanapoishiwa hoja hutafita fisingizio.
 
*are you seriously = Are you SERIOUS
 
Father wewe na ukimwi bora ukimwi
 
Na raisi wetu mpendwa ni kutoka Morogoro sio
 
Kilichopo ni chuki na ubaguzi maana ni mbegu iliyopandwa na kuenea kwake ni rahisi sana kwa wafuasi wasioweza kutafakari mambo.

Sisemi msipiganie haki zenu. Sisemi msipiganie katiba kuiweka sawa kwa ilipovuja. Sisemi msiujadili muungano kuuweka sawa kwa ulipoharibika au hata kuuvunja ikipaswa.

Nawausia msipigane wenyewe kwa wenyewe. You have a common enemy. Mkishatambua hilo, shikamaneni kwa pamoja kumdhabiti kwa pamoja na kwa moto mmoja. Kisha mkifanikiwa hilo, kaeni chini kujadili haya mengine kwa pamoja!

Mkono mmoja hauvunji kijiti!!!
ccm ndo wanaliwezesha hilo , watu walipendana wakaenda kwa jiran kukod watu , ona wanachukiwa wote ss
 
Je, Wazanzibari Wamehusika?

"Kuangalia tatizo bila kuona ukweli wote ni kama kujaribu kupiga msumeno ukiwa na mwinuko mmoja tu."

Kuna mjadala mkubwa unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yaliyojiri Oktoba 29, kabla na baada ya siku hiyo. Mojawapo ya hoja zinazojitokeza ni kwamba matatizo ya Tanzania Bara yanatokana na Zanzibar, na si kutoka ndani ya Bara yenyewe. Hoja hii imenichokoza sana. Hebu tuangalie kwa mifano halisi.

Bunge la Jamhuri ya Muungano

Bunge la Tanzania lina takriban asilimia 99 ya wabunge ambao ni Watanzania Bara, wakiwemo Spika, Naibu Spika, Katibu wa Bunge, na wabunge wengine wote. Pia, karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge ni Watanzania Bara.

Hoja: Je, Wazanzibari wanahusikaje hapa?

Jibu: Hakuna ushahidi unaoonyesha Zanzibar inaathiri uendeshaji wa Bunge.

Je, bunge lililo na takriban 97% ya Watanzania Bara litapaza sauti kuhusu yaliyojiri Oktoba 29 na kuwa upande wa kulaumu Zanzibar? Ngoja tuone.

Vyombo vya Habari

Asilimia 99 ya wahariri wa vyombo vya habari nchini ni Watanzania Bara. Taasisi zote kubwa za habari, zikiwemo MOAT na Jukwaa la Wahariri, zinaongozwa na Watanzania Bara.

Hoja zinazoulizwa: Je, ina maana wameshikwa kiakili na Wazanzibari?

Jibu: Vyombo vya habari vinaongozwa na Watanzania Bara; hivyo basi, Wazanzibari wanahusikaje?

Madai ya Askari wa KMKM

Kuna madai kwamba askari wa KMKM waliletwa Tanzania Bara ili kuzuia vurugu. Lakini kumbuka: askari wa KMKM Zanzibar hawazidi 5,000. Tuseme hata kama walioletwa Bara ni mia moja (100), je, inawezekana hawa watu 100 waliweza kuzunguka nchi nzima?

Mfano: Wako Mwanza, wakaja Manzese, Arusha, Mbagala, Katoro, Mara, Shinyanga, kisha wakarudi Ubungo na Goba.

Hilo linaingia akilini kweli? Jamani, tumuogopeni Mungu.

Mahakama

Asilimia 99 ya majaji ni Watanzania Bara, na labda 1% tu ndio Wazanzibari. Je, inawezekana kwamba 1% hii ingeathiri kesi kubwa kama ile ya Lissu au zile zinazohusu Chadema?

Hitimisho: Hoja kwamba Zanzibar inahusika kimsingi katika Mahakama ya Taifa haina msingi wa kweli.

Wafanyakazi wa Serikali

Takribani asilimia 95 au zaidi ya wafanyakazi wa Serikali Bara ni Watanzania Bara. Je, ina maana Zanzibar inahusika katika mambo yanayotokea Bara?

Jibu: Idadi ndogo ya Wazanzibari haiwezi kuwa na mchango mkubwa wa kitaifa kwenye uendeshaji wa Serikali Bara.

Wizara ya Fedha

Waziri, makatibu wakuu, na karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wote wa Wizara ya Fedha ni Watanzania Bara.

Swali: Je, Wazanzibari wanahusika vipi?

Jibu: Hoja kwamba Zanzibar inafaidika zaidi chini ya utawala wa Dkt. Samia inahitaji ushahidi zaidi.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Msajili, wasaidizi wake, na wafanyakazi wengine wote kwa asilimia 99 ni Watanzania Bara.

Hoja: Hii ina maana Mpina alizuiliwa kwa shindiko kutoka Zanzibar?

Jibu: Hakuna ushahidi wa kuunga mkono hoja hiyo.

Hitimisho

Watanzania Bara, tujiulize tulipoanguka; tusilaumu Wazanzibari. Haiwezekani kuwalaumu watu milioni moja dhidi ya watu milioni sitini wa Bara.

Kama hoja hiyo ingekuwa kweli, basi hawa Wazanzibari milioni moja wangekuwa watu wenye akili ya kipekee — magenius wa hali ya juu!

Watanzania Bara, tuangalie tulipoanguka, tusiwabebeshe lawama
Umeropoka hujui chochote ,Una uwezo mdogo sana wakumbambanua mambo .
 
Kwanza kabisa wewe ni MZANZIBAR usijifanye mtanganyika, pili usijisahaulishe kwamba rais wa nchi hii ana nguvu kubwa isiyomithilika, tatu sisi watanganyika lazima tulipe kisasi cha hao vijana 15000 waliouliwa na kmkm hata kama sio leo, nne nyinyi WAZANZIBAR ni mafala sana nyinyi mko million na ushee nusu yenu iko huku tanganyika sasa sisi tutaanza na wa huku tanganyika alafu tutawafata huko huko zanzibar subiri huyu mbona haishi milele mtajuta sana
 
Kuna kulinda amani, na kuvuruga amani(mauaji), la walikuwa na lafudhi ya kizanzibar inavosemekana lakini
Swali la kujiuliza , wale waliopiga watu dar, mbeya, Arusha, mwanza, singida, Dodoma, Kahama, tunduma wote waliokuwa wazanzibari? usafiri haukuwepo kuanzia tarehe 29 mpaka vurugu zilipoisha, ayo madai ya vikosi kutoka ZNZ waliingia lini na wakatoka lini na Kwa njia Gani ? Au tuseme ndio Bado wapo Tanzania bara.
 
*Rais wa Tanzania anaweza akawa Mzanzibari,na Zanzibar ina Rais wake ambaye hawezi akatokea bara.
*Kuna bunge la serikalia ya mapinduzi ya Zanzibar ila hamna mbunge mbara anaweza kuwa kwenye baraza la serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.
*Mbara hawezi kununua ardhi zanzibar ila wazanzibar wananunua ardhi bara.
Kama Zanzibar ina rais wake kwanini tuongozwe na rasi kutoka Zanzibar?
Kumbuka wazanzibari wote ni watanzania ila sio Kila Mtanzania ni Mzanzibar.
 
JIBU: RAIS ANA MADARAKA MAKUBWA MNO KIASI KUAMUA LOLOTE LIWE NA LINAKUA. ANAWEZA KUBADIRISHA KIONGOZI YEYOTE YULE AMBAYE HASIKILIZI AMRI ZAKE. MAAMUZI YA NANI ALIPWE PESA NA NANI APEWE CHEO GANI YAPO KWA RAIS. NENDA KAONE JESHINI ALIVYOPANGUA JESHI, NI MKUNDA TU NDIYO SI MTU WAKE ILI KUWAZIBA WATANGANYIKA.

SWAHIBA ZAKE: KIKWETE - YUPO KWENYE MASLAHI MAKUBWA YA UTAJIRI PAMOJA NA MTANDAO WAO

HAO 99% UNAOSEMA WAPO, HAWANA UWEZO WOWOTE WA KUBISHA HATA HAO WABUNGE. UMEONA POLE POLE YUPO WAPI? ALIPOBISHA TU, WANAKUTENGA WEWE WANAKUUA. DIVIDE AND KILL. HAO 99% NAO WANAOGOPANA, NANI AANZE, ANAYEANZA NDIYO HUYO ANADAKWA. UNAFIKIRI IGP HAJUI HIYO?

SIMBA KULE POLINI WANABABAISHA NYATI 50, WANAWASAMBAZA NA KUMLA MMOJA. WENGINE WANAANGALIA. KIUKWELI NYATI NI MYAMA MWENYE NGUVU SANA KAMA SIMBA. ILA AKITOKEA NYATI MMOJA TU NA KUMFUATA SIMBA SIMBA HUKUMBIA NDIPO UTAONA NA WALE NYATI WENGINE KUUNGANA NA KUMKABILI SIMBA.

FACT

Kwanza kabisa wewe ni MZANZIBAR usijifanye mtanganyika, pili usijisahaulishe kwamba rais wa nchi hii ana nguvu kubwa isiyomithilika, tatu sisi watanganyika lazima tulipe kisasi cha hao vijana 15000 waliouliwa na kmkm hata kama sio leo, nne nyinyi WAZANZIBAR ni mafala sana nyinyi mko million na ushee nusu yenu iko huku tanganyika sasa sisi tutaanza na wa huku tanganyika alafu tutawafata huko huko zanzibar subiri huyu mbona haishi milele mtajuta sana
Kinachokusumbua ni chuki tu, watanganyika wenzenu wenye Njaa na unafiki ndio tatizo, na kama ufala basi munao nyinyi mulio wengi lakini hamuwezi kupigania haki yenu.
 
Je, Wazanzibari Wamehusika?

"Kuangalia tatizo bila kuona ukweli wote ni kama kujaribu kupiga msumeno ukiwa na mwinuko mmoja tu."

Kuna mjadala mkubwa unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yaliyojiri Oktoba 29, kabla na baada ya siku hiyo. Mojawapo ya hoja zinazojitokeza ni kwamba matatizo ya Tanzania Bara yanatokana na Zanzibar, na si kutoka ndani ya Bara yenyewe. Hoja hii imenichokoza sana. Hebu tuangalie kwa mifano halisi.

Bunge la Jamhuri ya Muungano

Bunge la Tanzania lina takriban asilimia 99 ya wabunge ambao ni Watanzania Bara, wakiwemo Spika, Naibu Spika, Katibu wa Bunge, na wabunge wengine wote. Pia, karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge ni Watanzania Bara.

Hoja: Je, Wazanzibari wanahusikaje hapa?

Jibu: Hakuna ushahidi unaoonyesha Zanzibar inaathiri uendeshaji wa Bunge.

Je, bunge lililo na takriban 97% ya Watanzania Bara litapaza sauti kuhusu yaliyojiri Oktoba 29 na kuwa upande wa kulaumu Zanzibar? Ngoja tuone.

Vyombo vya Habari

Asilimia 99 ya wahariri wa vyombo vya habari nchini ni Watanzania Bara. Taasisi zote kubwa za habari, zikiwemo MOAT na Jukwaa la Wahariri, zinaongozwa na Watanzania Bara.

Hoja zinazoulizwa: Je, ina maana wameshikwa kiakili na Wazanzibari?

Jibu: Vyombo vya habari vinaongozwa na Watanzania Bara; hivyo basi, Wazanzibari wanahusikaje?

Madai ya Askari wa KMKM

Kuna madai kwamba askari wa KMKM waliletwa Tanzania Bara ili kuzuia vurugu. Lakini kumbuka: askari wa KMKM Zanzibar hawazidi 5,000. Tuseme hata kama walioletwa Bara ni mia moja (100), je, inawezekana hawa watu 100 waliweza kuzunguka nchi nzima?

Mfano: Wako Mwanza, wakaja Manzese, Arusha, Mbagala, Katoro, Mara, Shinyanga, kisha wakarudi Ubungo na Goba.

Hilo linaingia akilini kweli? Jamani, tumuogopeni Mungu.

Mahakama

Asilimia 99 ya majaji ni Watanzania Bara, na labda 1% tu ndio Wazanzibari. Je, inawezekana kwamba 1% hii ingeathiri kesi kubwa kama ile ya Lissu au zile zinazohusu Chadema?

Hitimisho: Hoja kwamba Zanzibar inahusika kimsingi katika Mahakama ya Taifa haina msingi wa kweli.

Wafanyakazi wa Serikali

Takribani asilimia 95 au zaidi ya wafanyakazi wa Serikali Bara ni Watanzania Bara. Je, ina maana Zanzibar inahusika katika mambo yanayotokea Bara?

Jibu: Idadi ndogo ya Wazanzibari haiwezi kuwa na mchango mkubwa wa kitaifa kwenye uendeshaji wa Serikali Bara.

Wizara ya Fedha

Waziri, makatibu wakuu, na karibu asilimia 99 ya wafanyakazi wote wa Wizara ya Fedha ni Watanzania Bara.

Swali: Je, Wazanzibari wanahusika vipi?

Jibu: Hoja kwamba Zanzibar inafaidika zaidi chini ya utawala wa Dkt. Samia inahitaji ushahidi zaidi.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Msajili, wasaidizi wake, na wafanyakazi wengine wote kwa asilimia 99 ni Watanzania Bara.

Hoja: Hii ina maana Mpina alizuiliwa kwa shindiko kutoka Zanzibar?

Jibu: Hakuna ushahidi wa kuunga mkono hoja hiyo.

Hitimisho

Watanzania Bara, tujiulize tulipoanguka; tusilaumu Wazanzibari. Haiwezekani kuwalaumu watu milioni moja dhidi ya watu milioni sitini wa Bara.

Kama hoja hiyo ingekuwa kweli, basi hawa Wazanzibari milioni moja wangekuwa watu wenye akili ya kipekee — magenius wa hali ya juu!

Watanzania Bara, tuangalie tulipoanguka, tusiwabebeshe lawama
Naunga mkono hoja.
 
Kwanza kabisa wewe ni MZANZIBAR usijifanye mtanganyika, pili usijisahaulishe kwamba rais wa nchi hii ana nguvu kubwa isiyomithilika, tatu sisi watanganyika lazima tulipe kisasi cha hao vijana 15000 waliouliwa na kmkm hata kama sio leo, nne nyinyi WAZANZIBAR ni mafala sana nyinyi mko million na ushee nusu yenu iko huku tanganyika sasa sisi tutaanza na wa huku tanganyika alafu tutawafata huko huko zanzibar subiri huyu mbona haishi milele mtajuta sana
Sasa mbona unalalamikia mafala
 
Duuh dereva anazidi kuendesha tu gari lilishapata pancha.
 
Kinachokusumbua ni chuki tu, watanganyika wenzenu wenye Njaa na unafiki ndio tatizo, na kama ufala basi munao nyinyi mulio wengi lakini hamuwezi kupigania haki yenu.
Iwe chuki iwe limbwata tutawanasa tu na mtatajana tu, mafala kwa sababu hamkupima athari ya mlichokifanya, subirini siku tutakapokuja kusafisha hivo visiwa ndio mtaelewa
 
Sasa mbona unalalamikia mafala
Mimi hata silalamiki hata nikilalamika vijana 15000 hawarudishiwi uhai ila nawaambia mtalipia hii gharama ya uhai wa hao vijana muda utasema hata kama sio leo, huyo mbona ataondoka tu
 
Back
Top Bottom