Eti wanawake weusi hawana mvuto?

Hilo litabaki kuwa ni mtazamo wako kwani utafiti wako sio wa kisayansi kwani hauna misingi ya utafiti,ingawa inawezekana kuna punje ya ukweli ndo maana wanawake wengi wanajichubua!!
 
Wanaume wafupi na wenye vitambi hela hakuna mhh narudisha kadi
 
MIMI NAPENDA SANA MWANAMKE MWEUSI, KAMA WEWE NI MWANAMKE MWEUSI NI PM, TUWASILIANE COZ BLACK NI UGONJWA WANGU
Kweliiii eeeee....hahahaaa sorry ila mdogo wangu anahizo sifa ni PM nikuunganishe...hahahaaaa umuoe kabisaaaa
 
Kuna watoto weusi wakali balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…