Eti wanawake weusi hawana mvuto?

Utafiti wako umefanya ukiwa club gani?
Wanawake weusi wana k ndogo taamuuu za motooo.
 
Hapa kasema hata kama vigezo vinaelekeana, na nadhani kwa kiasi ni ukweli "Ndio maana wanawake wanajichubua, au kijing'arisha). Wanaume wengi (sio wote) wanapenda wanawake weupe
 
Izo ni dhana tu mapenzi ni zaid ya rangi..labda ujisemee mwenyewe na usitujumuishe wanaume wote..."utamu wa chai sukar dingi"
 
Kipendacho roho,hula nyama mbichi.
 
Kama.huyu hapa je!
 

Attachments

  • 1451908486666.jpg
    15.1 KB · Views: 35
Dah! Nafikiri tupo tofauti, mimi nikiona ile chocolate au milk chocolate napagawa, alafu hata wakati wa mechi weusi wana unyevu uliobalansi, wanaloanisha dushe kwa kiwango kinachotakiwa. Ni mtazamo wangu!
 



Maandiko katika kitabu cha biblia(wimbo ulio bora 2:2) yanasema usinione ni mweusi mweusi lakini ninao uzuri. na pia nabii Mussa alioa mwanamke mweusi mpaka dadake Miriam akawa anamcheka, Lakini laana yake aliota ukoma.
nafagilia sana wenye wanawake weusi wengi wao huwa ni wasafi sana, achilia mmoja mmoja hiyo ipo kila sehemu.
Kujikataa weusi wetu ni ujinga na ubaradhuri!
 
Hao mie ndio nawatafuta, sijui ntawapata lini
^^
 
Kitu ebony halafu figa ya kibantu... asalaaleeh!
 
MIMI NAPENDA SANA MWANAMKE MWEUSI, KAMA WEWE NI MWANAMKE MWEUSI NI PM, TUWASILIANE COZ BLACK NI UGONJWA WANGU
 
Kila mtu anakuwa na muono wake wako ambao wanapenda weusi lakini pia wapo ambao wanapende weupe black is beautify mkuu kwa hiyo usimjaji mtu kwa matazamo wako hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…