Eti wanawake huwa hawacheat


Nani amekudanganya hujawahi ona mabibi wa 60 wanaolewa jiulize kwa nini?
 
Watu wote wanaotembea nje au waliowahi kutembea nje ya ndoa/mahusiano wana IQ ndogo kuliko wale waaminifu, na mara nyingi huwa ni mataahira, hivyo kama wewe bado haujaingia huu ni USHAURI na usiupuuzie tafute mtu mwenye IQ kubwa na hiki ndio kiwe kigezo chako namba moja, kwani watu wenye IQ kubwa huwa waaminifu siku zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…