Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,970
- 142,181
Status: Attached Female seeking Males
NN unatafuta nini kny hizo sites na wewe???
..........women dont cheat.....total fallacy..........
nina mume,and i have cheated twice.......lol...........wala sikuwa na reason......na hata wanaume sio msra zote wanakuwaga na reasons...........akitokea mwanaume tena, i will cheat......wengine tunakuwa thrilled na mawazo ya kuchiti chiti tu lol,hii haimaanishi hatuwapendi partners wetu.........kwangu mimi kuwa na mtu mmoja mpaka kifo kiwatenganishe ni uongo kama vile watu wanavyokuja na kusema wanawake hawacheat.............
Jamani mapenzi ya nje ya ndoa ni mazuri,matamu na yananoga haswa. Ukiwa ndani mume hatoi yale mapenzi ya wakati ule wa uchumba na ukute umezaa haaaaa!!!!! anaona umepitwa na wakati
Nyoo nani kasema hawacheat??
Sema tu wao wanacheat responsibly
Jamani mapenzi ya nje ya ndoa ni mazuri,matamu na yananoga haswa. Ukiwa ndani mume hatoi yale mapenzi ya wakati ule wa uchumba na ukute umezaa haaaaa!!!!! anaona umepitwa na wakati
Ila huyu anaweza asiwe cheater ...unaweza kuta ni makubaliano tu na mumewe kila mtu ashike hamsini zake ndio maana ana sound confident...usiri ni kwa huyo atakaye mpata maana aweza kuwa mme wa mtu...
Interesting take....
Nimependa alivyosema I've been married over 30 years and too much invested to walk away.
Hataki kuachana na mumewe sababu ya investments (i suppose mali au watoto)...te te te kumbe wanawake wa majuu na wa kibongo wote kimawazo ni mule mule...watu wana stay kwa sababu ya convenience...
Ila huyu anaweza asiwe cheater ...unaweza kuta ni makubaliano tu na mumewe kila mtu ashike hamsini zake ndio maana ana sound confident...usiri ni kwa huyo atakaye mpata maana aweza kuwa mme wa mtu...
But we only live once...sidhani kama ni ujanja kuishi maisha miserable kisa heshima sijui nini...mimi ndoa ikianza kuwa ndoano nasepa...I want to be happy...
Heaven forbid!