CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 853
Eti Walitaka Kumhonga Bilioni Mia Tatu...?
Kwamba, yule Mheshimiwa ni mzalendo wa kweli, na alitoa nje, pale alipojaribiwa kuhongwa bilioni mia tatu! Hii haingii akili hata kidogo, haiwezekani wahujumu watake kumhonga kiasi hicho cha pesa, halafu yeye akashindwa kuchukua hatua. Kama kweli hayo yaliyosemwa na mwenezi yalitokea, basi hapa hatuna mzalendo wa kweli bali muigizaji. Nasema hivi kwa sababu, kwa nafasi yake, hao wanaoitwa wahujumu kwa jaribio lao hilo, ilitakiwa wawe LUPANGO.
Tusiongee sana hadi tukapitiliza, kwa kufanya hivyo itasababisha tuonekane waongo na wasanii hivi.
Source: Makinikia.