Eti Wahindi Hawajengi....

Eti Wahindi Hawajengi....

Sasa feeling ya kua na nyumba yako uliipata wapi?au unafeel kupitia watu wengine??.huyo anaongelea experience yake..
Ni wapi nimeandika au nimekwambia nina hio feeling? Hebu ngoja nikasome nilichoandika nione kama kuna sehemu nimeandika hivyo. Kuna video mods wameifuta Muhindi ndio anaongea kuhusu hio feeling.
 
Back
Top Bottom