RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,415
- 139,261
Kuna watu wanapenda kubeza ujenzi wa nyumba na kichaka chao utasikia mbona wahindi hawajengi. Sijui nani aliwadanganya kuwa Wahindi hawajengi wakati ndio wanaongoza kumiliki nyumba Masaki na Upanga.
Haya msikieni kijana wa Kihindi mtaalam wa real estate anazungumzia kuhusu kujenga nyumba binafsi. Kukaa kwako kuna feeling ambayo ni priceless.
Haya msikieni kijana wa Kihindi mtaalam wa real estate anazungumzia kuhusu kujenga nyumba binafsi. Kukaa kwako kuna feeling ambayo ni priceless.