ndandawamalenja
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 548
- 658
Kuna mtu ameandika kwa Aunt Bettie (gazeti la mwananchi) anaomba ushauri eti uume wake mdogo afanyeje? Sasa tunajiuliza ameulinganisha na wanani na aliuona vipi? Kuna mtu ana wazo lolote? Sasa huyo aunt Bettie alivyomshauri ndio kituko kabisa. Kamwambia aongee na mama yake asione aibu kwa sababu ndiye aliyemzaa!!!! Ushauri mwingine!!!