Eti uume wake mdogo?

Eti uume wake mdogo?

Kuna mtu ameandika kwa Aunt Bettie (gazeti la mwananchi) anaomba ushauri eti uume wake mdogo afanyeje? Sasa tunajiuliza ameulinganisha na wanani na aliuona vipi? Kuna mtu ana wazo lolote? Sasa huyo aunt Bettie alivyomshauri ndio kituko kabisa. Kamwambia aongee na mama yake asione aibu kwa sababu ndiye aliyemzaa!!!! Ushauri mwingine!!!

Mi naona kwamba hakuna mwanaume mwenye uume mdogo,kama ulivyosema,kaulinganisha na nani? unajua tatizo linalotukumba sisi vijana ni 2,unataka kila mwanamke udumbukize,never hawawezi wote wakakufaa,wewe umekuwa nani? kuna wengine wanasema wanawake wenye mdomo mpana na vidole virefu vya mikono hata "k" yao ni pana na kina kirefu,hii so research ni Primary data,so wewe ichukue kama secondary data kwako na uifanyie kazi,u may take it as Hypothesis,andaa HO...Na H1
 
Namshauri ajtahidi kuzama maneo yasiyo hatarishi kama kwa watu wa umri wake, akiona na huko anaelea ajaribu kutafuta bikra, akiona bado anaelea awaone wamasai!

Hivi kuna dushelele kubwa na ndogo!!!? Kama ni ndogo basi ujue K ni kubwa, na kama dushelele ni kubwa basi ujue K ni ndogo. Full stop!

Lara 1 ushauri wako ni mzuri anyway.
 
Kuna mtu ameandika kwa Aunt Bettie (gazeti la mwananchi) anaomba ushauri eti uume wake mdogo afanyeje? Sasa tunajiuliza ameulinganisha na wanani na aliuona vipi? Kuna mtu ana wazo lolote? Sasa huyo aunt Bettie alivyomshauri ndio kituko kabisa. Kamwambia aongee na mama yake asione aibu kwa sababu ndiye aliyemzaa!!!! Ushauri mwingine!!!

Du...basi wakati anafanya aongezee na kidole nafasi iliyobaki ili ibane...
 
Kuna mtu ameandika kwa Aunt Bettie (gazeti la mwananchi) anaomba ushauri eti uume wake mdogo afanyeje? Sasa tunajiuliza ameulinganisha na wanani na aliuona vipi? Kuna mtu ana wazo lolote? Sasa huyo aunt Bettie alivyomshauri ndio kituko kabisa. Kamwambia aongee na mama yake asione aibu kwa sababu ndiye aliyemzaa!!!! Ushauri mwingine!!!

Mada nyingine bana!!!. Sasa hapa umeandika kitu gani? nauliza, umeandika kitu gani hapa?? Bora unyamaze kimya kama huna cha kuandika. mnatupotezea muda bure.

....KUna mizizi inaitwa "MIKONGORA" tulikuwa tunatafunia na Bigijiii wakati tuko darasa la sita, saba na kidato cha pili....inanenepesha vizuriiiiii.....jana meona mmasai mmoja anauza maeneo ya Kimara
 
Back
Top Bottom