Cloud Computing
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 334
- 85
nrudishie muda wangu!!!!!!!Wanawake wengi wako selfish sana....
Kwa wanawake kuolewa muda unazingatiwa kuanzia 30's hizo ni dakika za majeruhi"wanawake hukimbilia kauli ya najuta umenipotezea muda wangu"
je kwa sisi wanaume huwa hatuna swala la kupoteza muda kiasi kwamba kilio kiwe kwa akina dada pekee?
Kwa wanawake kuolewa muda unazingatiwa kuanzia 30's hizo ni dakika za majeruhi
Mwanaume hata 60 unaoa tu tena katoto kabichi kabisa
hapo ndo swala la kupotezewa muda lilipo
Kwa wanawake kuolewa muda unazingatiwa kuanzia 30's hizo ni dakika za majeruhi
Mwanaume hata 60 unaoa tu tena katoto kabichi kabisa
hapo ndo swala la kupotezewa muda lilipo
kwa nyie wanaume hamjapoteza mda kwasababu ninyi ni watafutaji na siaia ni watafutwa kwa mantiki hiyo wakati naftafutwa nilikataa kwa kigezo nipo na wewe alafu then unaniacha kumbe umeshatafuta mtu mwingine... na mimi nazidi kukataa application
Ni wewe yule yule uliyesema ulitumia " I love you" ukiwa hujamaanisha..kweli ulimpotezea mda jamaa wa watu, lol
Uuuupsi pole yake kwa kweli
Angekuja nikiwa na 25 yrs na kuendelea haya yasingemtokea mkuu
Namshangaa alilia nn wakati vibabu vinaoa mda na umri wowote while vibibi hawawezi kuolewa ukishafika 30 na kuendelea ni dangerous
Ukwel kwangu haikuwa big deal sanaaa....cos umri still ulikuwa unaruhusu
lolest, ICHANA we noumer!!
wa saivi unamshikilia coz umri umeenda eeeeh!!
Nimshikilie from where n for what....usililie mapenz mlango ukijifunga pitia kwa window hujui principle Yang eeeeeh
Gari Yang ya mapenzi no reverse gia mbele kwa mbele tuu
hasa kauli hii inapenwa na kina dada ww,HUTAMSIKIA MWANAUME ANAONGEA HUOO UTUMBOOkauli hii iko applied kwa pande zote mbili ikitegema ni yupi aliyeachwa bila sabau za msingi hata mwanaume anweza kusema kapotezewa muda ikiwa ametumia muda wake mwingi pamoja na mwanamke halafu mwishowe anakuja kuachwa bila sababu inayoeleweka the same applies to women,so kwa ufupi tu huu msemo waweza tumika kwa jinsia zote mbili!
wanaume pia wanatafutwa cyo wanawake tu.
hata nyie tunawapotezeaga muda ila mnajikaza kisabuni.
hasa kauli hii inapenwa na kina dada ww,hutamsikia mwanaume anaongea huoo utumboo