Hapo umekufuru kjana.. Ulokole hatuamin hayo... Kwan Hakuna sauté Na dhamb chin ya jua tunaamin aliye mtakatfu Ni mungu tu Na hata aliye mwema. Ulokole si unafik Bali Ni kumcha mungu, kuamini mungu yupo, kashka mafundisho ya bwana wetu yesu kristo.. Na kuamini kuna uzma Wa milele.uskulize AMA usisikilze nyimbo kaz Ni kwako. Mm mwenyewe unaweza ukanikuta club Na bado nimeokoka Na hutanikuta ninatenda dhamb ndan ya club.Ulokole ni unafiki kwa maana HAKUNA BINADAMU ANAEKOSA KUWA NA DHAMBI KATIKA DUNIA HII.
kuna binti wa kilokole alikua anatembea na wanakwaya wenzake anajitetea kuwa ni suala la kimwili ila ameokoka kiroho.Bujibuji ulokole ni kitu cha kiroho zaidi kuliko kimwili ,ukiwa mlokole haina maana kuwa usisocialize ! Wengi tunafikiri kuwa ukishaokoka unakuwa si kiumbe cha kawaida tena (heavenly beings)
mlokole ana mwili bado uleule wa binadamu ambao unapitia yote kama maumivu furaha hasira nk nk
Hadithi yako hii inatiufundisha nini..kama hakuna asiyemkosefu ndo ticket ya kutenda na kuruhusu makosa,la kwa muziki huu sijaona kosaUlokole ni unafiki kwa maana HAKUNA BINADAMU ANAEKOSA KUWA NA DHAMBI KATIKA DUNIA HII.
Kwahiyo wewe huna dhambi??
Ulokole ni unafiki kwa maana HAKUNA BINADAMU ANAEKOSA KUWA NA DHAMBI KATIKA DUNIA HII.
remix imeimbwa na rihannaPharrell Williams
Du.... nimeipenda hiikuna binti wa kilokole alikua anatembea na wanakwaya wenzake anajitetea kuwa ni suala la kimwili ila ameokoka kiroho.
Hebu soma WARUMI 3:23Ulokole ni unafiki kwa maana HAKUNA BINADAMU ANAEKOSA KUWA NA DHAMBI KATIKA DUNIA HII.
Warumi 3: 23 kwa maana wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; 24 wote wanahesabiwa haki bure kwa neema yake kwa ukombozi ulioletwa na Yesu Kristo.
Hapo umekufuru kjana.. Ulokole hatuamin hayo... Kwan Hakuna sauté Na dhamb chin ya jua tunaamin aliye mtakatfu Ni mungu tu Na hata aliye mwema. Ulokole si unafik Bali Ni kumcha mungu, kuamini mungu yupo, kashka mafundisho ya bwana wetu yesu kristo.. Na kuamini kuna uzma Wa milele.uskulize AMA usisikilze nyimbo kaz Ni kwako. Mm mwenyewe unaweza ukanikuta club Na bado nimeokoka Na hutanikuta ninatenda dhamb ndan ya club.
Mtu kujiita 'ETI,MLOKOLE' MAANA YAKE,HANA DHAMBI NA NIJUAVYO MIMI HAKUNA MTU ASIE NA DHAMBI HAPA DUNIANI KWAHIYO "WALOKOLE NI WANAFIKI TU"
Mtu kujiita 'ETI,MLOKOLE' MAANA YAKE,HANA DHAMBI NA NIJUAVYO MIMI HAKUNA MTU ASIE NA DHAMBI HAPA DUNIANI KWAHIYO "WALOKOLE NI WANAFIKI TU"
U a wrong
Biblia inasema ' wote tumetenda dhambi hivyo tumepungukiwa na utukufu '.
So ulokole sio kutokua na dhambi,
Ulokole ni kumkiri na kumpokea Yesu kuwa bwana na mokozi wa maisha ya mtu binafsi.
Hivyo unatakiwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu ila Mungu huyu huyu ametupa neema ya kumrudia kwa kutubu kwasbb anajua binadamu tuna anguka dhambini