conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 838
- 714
Umetembea na mke wangu alipokuja kwako kuomba kazi akakupa Mali yangu ukampa KAZI,
Ulipokuwa RC ulinisweka ndani nakumpiga Baba yangu kisa unataka mifugo ya baba yangu kwa nguvu.Ulipindisha MRADI uliobidi upitie kijiji changu rushwa ya Mangi na mchina, hospital imejengwa kwenu mama yangu amekufa kwa kukosa huduma hiyo ya hospital ya karibu.
Ubunge wako umeupata kwa nguvu ya pesa na miradi yote unapeleka maeneo uliyo na maslahi.
Kauli zako zenye kiburi na STAHA dhaifu kisa wewe ni MKUU WA KITUO AU MAHAKAMA (weka ndani apate adabu)
Umekumbatia Kabira lako tu utadhani wengine hawana vigezo kupata ajira Sehem nyeti uliyokalia eti we sio KADA tulia au leta kadi.
Barabara bajeti yake ya mkoa wangu umeelekeza kwenu kisa Wazir,DED,au boss benk kuu. Mikopo unaelekeza watu wako unapoteza kanuni zilizowekwa. Alafu muda wako ukiisha na airtime huna eti sis MABWEGE tunasahau. Vijana walikamata sana vijana wenzao mitaan wamevalia t-shirts na raba za china KUMBE wanapingu eti order kutoka juu unaandama mfumo.
Scholarship zikitoka Unaelekeza watu wa kwenu. Uwanja wa ndege na stendi vinaandikwa jina lako utadhan pesa umetoa mfukoni mwako. Mimi nasema "I will hit you at right TIME" Baada ya kuzeeka na kutuibia vyakutosha eti unajawa na busara wakat ulikuwa kibaka wa kalamu,leo unasimikwa uchifu, ushauri wa KANISA,Msikiti. Ndugu zako Tu ndo wanafanya TRA,TIC,UBALOZI,DSM,ARUSHA,MWANZA..mimi ndugu zangu ndo umewapangia Lindi vijijin,Kaliua, Tanahimba, Mafia au itabagumba.
Nasema hivi UTATEMBEA NA ADHABU YANGU POPOTE. Pesa za mkopo zikija ndo unatengeneza IDEA alafu unawaambia ndugu zako foji foji vyeti vya usanii ulete (back date details) mkopo tumepata wa wasanii hivyo omba, mimi msanii mkongwe na Vigezo ninzavyo naomba 40m, unanipa 8m.Afu unasema NCHI NI YETU SOTE. ...
Hamna bunge limewahi kuboa kama la Mzee Chenge na Mzee Lowasa,Karamagi na WENZAKE wakuu wa meza kuu . Leo umestaafu ukachelo unalalamikia eti rasilimali za taifa zinatumika vibaya, we si ndo uliuza mbao zote ughaibuni za asili misitu kibao afu unatuletea kilimo cha Pine na GMO?
Si wewe uliuza NBC sh.1500? Si wewe insurance zote na paking za dar na majij mengine ulimpa mskikaj wako leo umezeeka unaomba huruma ya vijana wa leo, si wewe ulisingizia watu madawa ya kulevya,chet feki, kuninyima tender,kunihamisha kikaz,kuninyima kibari cha kumtibu dada yangu INDIA nafas ukamuuzia KANJUBAI, si wewe mwanzo ulisema tulime pamba na tumbaku afu wakat wamavuno ukashusha bei makusudi,? Si wewe Kahawa uliua soko lake ukiwa WAZIRI, ? Si wewe wakati wako uliipata tender kampuni moja ndo ichapishe vitabu vya kiada na ziada na maswali yote unatoa kitabu chako afu nikafeli mtihani kumbe sikuwa na access ya kitabu chako?
Si ni wewe kijana wa ZAMAN mzee wa leo afu unaniomba lift na nimpe connection kijana wako?.
Si wewe TBS ulishindwa kuisimamia vizuri natumia kondom iliyo expire leo niko dozi?, Si wewe uliyezaliwa Dar hivyo mimi wa kuletwa na train siwez kukupangia afu leo unakuja garage yangu unaoomba msaada TZA gari uliyoiba ukiwa bosi? Nasema hivi engine yako ya diesel naweka petrol karoge TENA .
Si wewe ulisema huwez kukaa na wapuuzi wa vijijn nikifa nitazikwa dar nina pesa,sasa MRADI wa barabara umefyeka nyumba zako zote,na kijijn hukujenga na ulikuwa huji. Sasa Mwamba ndo tuna nguvu kwangu HUKAI...kaa DAR ukaongee kingerez chako cha chuo KIKUU,si ulisema kiswahili na kiruga ni ushamba watoto wangu wajue lugha za kigeni sasa leo unamleta kwangu mimi darasa la saba nimsaidie si akae mjin kwa wauza bangi ...si wewe uliua Meli yetu na train kisa BENZ,NA YUTONG watakupa magar 400, sasa TAJIRI KAFA na Meli hamna unalalamika nini eti RUSHWA..TULIA MZEE TWENDE SAWA.mimi ndo DIRECTOR SASA "TOP DOWN ORDER" sikuachii kamwe mpaka upumue roho mbaya yako iishe.
Nankapo ONA JINA LAKO ,la mwanao,mkeo,bibi yako,shemej, binamu na anaetokea kijiji kwenu anakutana na BARRIER. Si wewe lakin radio yako haikupiga nyimbo zangu?,kisa sikupi rushwa,si wewe unaongea kiluga ofisin muda wote tena ya UMMA?si wewe trip unapanga afu unapeleka walevi wenzio Mimi mlokole unanibwaga..sasa TULIA MUNGU KAJIBU MAOMBI ,sitoi kibari cha stroke yako kwenda india nenda ukapate panadol kwenye zahanat uliyotelekeza kipindi ukiwa boss. TWENDE SAWA MZEE WANGU umenikazi kutoa rahana nazo hazifik kwangu niko JUU YA MWAMBA.
Si wewe ukiwa board guard wa BOSS ulikuwa hupokei sim ataniomba Pesa huyo, si wewe ile proposal yangu ya Kuanzisha vizimba vya samaki ulikataa afu mchina wazo hilo hilo ukampa airtime?, Si wewe ulifuta vyuo vikuu mkoani kwetu vile vya private ili vya serikali viwe juu,HUKU hurumia mkopo wangu wa benk niliyokopa kuendesha chuo? Sasa unaniomba nimsaidie kijana wako kutokea mfuko upi?. Si wewe umebana ajira kwa vijana afu posho zote mnakula nyie?.si wewe kila mwaka bajet ya.kuajir unaifuta ila unaweka ya kusafiri nje ya nchi kwa watu wako na 10% juu?. Sasa tulia WEAK PEOPLE TILIVENJI. Ulifungia gazet langu, BASI langu, hospital yangu,kampun yangu,shule yangu sasa TWENDE SAWA. KWARESMA YA SIKU 40 we utakwemda 90.