Eti Tanzania kuizidi Ujerumani, Urusi na Brazil | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti Tanzania kuizidi Ujerumani, Urusi na Brazil

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chamoto, May 9, 2011.

 1. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,071
  Likes Received: 1,107
  Trophy Points: 280
  Nimeangalia haya makadirio ya ongezelo la idadi ya watu (2100) za umoja wa mataifa kwakweli sielewi haya makadirio wameyatoa wapi yaani Tanzania kuzidi watu milioni 300 hii haingii akilini kabisa.

  WanaJF mnaonaje kuhusu hili...

  20110514_WOC680_0.gif


  1 India 1,557,468
  2 China 944,380
  3 Nigeria 756,007
  4 United States 478,047
  5 Tanzania 314,197
  6 Pakistan 262,149
  7 Indonesia 254,590
  8 Congo, Dem. Rep. 212,000
  9 Philippines 178,256
  10 Brazil 178,134
  11 Uganda 172,648
  12 Kenya 158,886
  13 Bangladesh 157,410
  14 Ethiopia 149,043
  15 Iraq 144,742

  Source: Population Reference Bureau
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hao wachina karibu 400,000,000 ina maana watakuwa wamekufa by 2100?
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Ukiona hivo ujue tafiti zinaonyesha wa tz wanapenda sana kuchavushana kuliko kufanya kazi.hahaaaaaa
   
 4. s

  siyenda Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nani kapika hizi taarifa jamani,mbona inatisha sana yaani ndani ya muda mfupi tufikie idadi hiyo.naomba ufafanuzi kwa aliyeanzisha thread hii ni nani kafanya utafiti huo?
   
 5. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,071
  Likes Received: 1,107
  Trophy Points: 280
  Huu utafiti ni wa United Nations Population Division ila bado unaendelea, nenda Population Reference Bureau
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,332
  Likes Received: 19,497
  Trophy Points: 280
  kudadeki sasa wanaigeria wataishi wapi?
   
 7. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hiyo imetulia kabisa! unless ni propaganda za kututisha tuache kuchavushana! The high the population density the more the challenges to survive! kwa hiyo misheni town zitaisha, tutaanza kuhama Tz kwenda kwenye nchi zenye less population na kubaka mali zao kama tunavyobakwa sisi!
   
 8. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  siamini na miukimwi hii inavyotumaliza tutaendelea kuongezeka kweli tena kwa kasi hiyo? au wanajua babu atakuwa katurudishia nguvu na kuumaliza ukimwi?
   
 9. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  takwimu tunayoambiwa tumbo milion 30 hadi 40 zinatoka wapi, kwa hapa inaonyesha milion 50!
   
 10. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,071
  Likes Received: 1,107
  Trophy Points: 280
  Hii takwimu inaonesha tupo chini kidogo ya milioni 50 kwakweli sielewi ipi ni sahihi.
   
 11. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Follow the simple culculation and assumption made

  kuna vizazi viwili ndani ya miaka 100 for developing economies
  Reasons: Umri wa kuoa mdogo

  Wastani wa watoto katika kila ndoa ni 3

  katika miaka 100/50 ni vipindi 2 vya vizazi


  Population ya sasa 50 million

  Estimated population watoto 3kila ndoa x vizazi 2x50million population = 300millioni
   
 12. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu if this assumption is right bado najiuliza, Hao wachina karibu 400,000,000 ina maana watakuwa wamekufa by 2100? Au watakuwa wameenda wapi? Maana wao wanaonekana kupungua!!!!
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mbuga za wanyamaaa Tanzania
  yakwanza ni Serengeti, Ngorongoro
  Manyara na mikumi ooooooooooohhhhh
  Tanzaaaaaniaaaaa ooohhhh yeeeeeee
   
 14. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,071
  Likes Received: 1,107
  Trophy Points: 280
  China wanaile kitu wanaita aging population na kwasababu wao wana ile sheria ya kuwa na mtoto mmoja baada ya miaka kadhaa population yao (milioni 400) itapungua baada ya hao kuwa wamekufa.
   
Loading...