Umesahau mkuu, kuna gear nyingine walinitumia juzi hawa hawa voda; Namba yako nusura tu ishinde, sio utani !! Nikajiuliza; Hivi kweli huu ni uungwana? Kama haikushinda, na miye sijatuma hilo neno...kwenda namba... Wamepata wapi hiyo namba yangu??
Kama wao wanazo hizo fweza si wanitumie kwenye M Pesa?? Ma advise is,: Never be the Bookies cow!! Hawatoi hela yao mfukoni bali kwa wajinga flan flan wanao kubaliki kukamuliwa fedha zao, wanampa mjinga mwenzao. Nyingi wanabaki nazo wakijilambia bila jasho.