Eti tangazo muhimu kutoka....

Umuhirindahu

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Messages
344
Points
250

Umuhirindahu

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2014
344 250
Jaman mi nashindwa kuelewa hizi kampuni za simu,nashangaa unapokea meseji -tangazo muhimu kutoka vodacom,namba yako ya simu imechaguliwa kushinda sh...,ili kushinda tuma neno....kwenda namba...,hapa najiuliza maswali yafuatayo
1. Kama kigezo cha kuichagua namba yangu kupata zawadi ni kwasababu mimi ni mteja wa uhakika kwanini mnipe masharti ya kutuma neno .... kwenda namba ...
2. Siyo kwamba kwa kufanya hivyo mnatuingiza katika mtego wa kuunganishwa katika huduma flani mnazotoa pasipo kupata ridhaa ya mteja?
3. kwan kumpa mtu zawadi lazima umpe masharti?
 
mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
13,728
Points
2,000

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
13,728 2,000
Umesahau mkuu, kuna gear nyingine walinitumia juzi hawa hawa voda; Namba yako nusura tu ishinde, sio utani !! Nikajiuliza; Hivi kweli huu ni uungwana? Kama haikushinda, na miye sijatuma hilo neno...kwenda namba... Wamepata wapi hiyo namba yangu??
Kama wao wanazo hizo fweza si wanitumie kwenye M Pesa?? Ma advise is,: Never be the Bookies cow!! Hawatoi hela yao mfukoni bali kwa wajinga flan flan wanao kubaliki kukamuliwa fedha zao, wanampa mjinga mwenzao. Nyingi wanabaki nazo wakijilambia bila jasho.
 
hawa jamaa wanakera ...sijui wanatuona sisi bongolala...?
 
MWENDAKULIMA

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2009
Messages
953
Points
195

MWENDAKULIMA

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2009
953 195
Namna nzuri ya kudeal na mambo hayo ya utapeli wa hawa jamaa na wengine wowote wanaodai kukupa "zawadi" bila wewe kutoa jasho mkuu Umuhirindahu fanya haya

1. Achana na kuamini mambo ya kamari kwamba kuna mtu dunia ya leo atakupa pesa tena nyingi wewe ukiwa umekaa tu bila kutoa jasho. Kwa namna hii hata hawa matapeli wa mtaani hawawezi kukupata.Jijengee tabia ya kuyatafuta mafanikio kwa kutumia nguvu/maarifa yako kihalali

2.Fuata ushauri wa mkuu muhomakilo jr hapo juu post #3
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru mkuu kwa ushauri mzuri
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,381,144
Members 525,996
Posts 33,790,345
Top