Eti sina mtaji

Eti sina mtaji

Huyu mdau ana fikra finyu mno. Yaani kweli anatoa mfano wa shindano kwamba ndio ukombozi?

Well, naye si ana shida na pesa basi yeye ashinde basi hizo pesa za shindano na zingine anazosema awasaidie na ndugu zake pia.

Hawa ndio wale wakishiba ugali na maharage wakimiliki na passo basi wanaona maisha wameyapatia
Mkuu umenichekesha balaa. Sure huyu mpendwa hayuko serious na matatizo ya taifa letu
 
Tatizo hili lipo ulimwengu mzima, kwahiyo usikimbilie kuni crush. Niliposema kuwa watu wasimame wao Kama wao, nilimaanisha kuwa kunahitajika kwanza kijana aweze kujitambua. Ukishajitambua utaanza kuona fursa ambazo hukuziona zamani. Kwakuwa kamahujajitambua hata ukipewa mtaji hutaweza kuongeza. Pili nilivyo sema kuhusu mashindano Ni mfano tu niliotoa na nilisema hayo Kama 'Metaphor' kwakumaanisha fursa zinazotuzunguka. Uki dharau fursa ndogo inayokuzunguka kufanikiwa kuona au kupata nyingine. Lakini kama ukiona fursa ukaifanyia kazi, hata kama hutashinda (Kama Ni shindano) au kufanikiwa (Kama Ni biashara) lakini hauta kuwa sawa Kama ulivyokuwa mwanzo na haujui kwa kufanya hivyo ni milango mingapi inaweza kufunguka.
Nisimame mimi kama mimi.?!!! nani kakwambia ninatatizo la mtaji. hapa tunaongelea jamii kwa ujumla kama mada yako inavyodai lete hoja zenye mashiko tunawasaidia vp vijana acha habari za mashindano mkuu. Kaza kichwa

"Inahitajika akili ya ziada kuelewa kwa nini jamii iko kama ilivyo"
 
Back
Top Bottom