Eti siku hizi ananikumbuka

Kama hutaki mrudiane mawasiliano yanini tena,kaa mbali na hayo matapishi
 
acaha uzoba sasa unampa hela za nni???
ujue bado unampenda hadi kuja kujaza server humu JF???
Nadhani ungekuwa mwanaume kamili ungempotezea na wala usingeleta huu ----- wako hapa

Punguza hasira mjomba

Nampa hela sababu ananiomba
Sijajaza server bure si nmenunua bando ya mb8
Nielekeze chuo wanachotoa kozi ya kuwa mwanaume kamili
 
Duuuhh tumeubwa wengi. Yote kwa yote unampenda ndio maana moyo wako una amani kumpa pesa.
 
Bila kusahau akina kipepe zena betina na mzee wa madongo lodilofa....

Lakini sani lilinoga zaidi kwa hadithi za akina mzee ole obi na linda


Back in the days tunasoma gazeti la Sani'
Sikununu alikuwa mtangazaji wa mpira wa mechi za 'Born Town FC na Bush Stars'
i miss those days
 
Mleta mada wewe bado kuchinjwa tu.... maana kama bandani ushaingia mwenyewe
 
Bila kusahau akina kipepe zena betina na mzee wa madongo lodilofa....

Lakini sani lilinoga zaidi kwa hadithi za akina mzee ole obi na linda

Khaa kumbe wewe nae ulilisoma hili gazeti?

Aisee 'those were the golden days'
 
kweli huyu jamaa inabidi aajiriwe Global Publisher ya Shigongo
 
Wewe ni zo.ba mtu wa akiba, unageuzwageuzwa tu, wanakujua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…