Acha matusi. Jenga hoja. Unaponiita mimi mbwa, ina maana na wewe ni mbwa. Umewezaje kusoma kilichoandikwa na mbwa? Ndio maana nasema kama huna hoja nyamaza kimya. soma michango ya wenzako. Sasa wewe umeniita mbwa, kumbe umejitukana mwenyewe!!! Nyie watoto mliojiunga mwaka 2014 mnatuletea tabu sana hapa JF!! Wazee wenye busara kama mkandara, gametheory, kichuguu; tumewapoteza kwa sababu ya upuuzi wenu. Hatuwezi kuendelea kuwavumilia. Tafuteni mitandao mingine. Sio lazima mchangie hapa JF.wewe una muda gani kwenye jf?mbwa ww
Mbwa hawezi kuwa member wa hapa,rekebisha kauli yako ,jibu kwa hoja na Si lazima kuzijibu zote
Huwa wanasema ukubwa wa bua sio wingi wa makamasi waweza mjudge hivyo then ukaja kukimbia mwenyewe uku umeshika chupi mononi hahahahahah
Thanks my brother. Nimeshamjibu. Kama ameweza kusoma kilichoandikwa na mbwa, basi na yeye ni mbwa. Binadamu hawezi kusoma kilichoandikwa na mbwa. Ndio maana nasema hawa vijana wanatusumbua sana. Badala ya kujenga hoja, yeye anaishia kujitukana mwenyewe. Kaazi kweli kweli!!
Huyo mama alishajipigilia mihogo yake, cku hizi nao wanakulaga mihogo mibichi ili washinde game alafu waje humu watangaze kama amempiga jamaa knock out
Mupoooooo wajameni basi sawa!
Kuna mama mmoja kaiacha hoi anasema eti vijana wa siku izi kazi wawaiwezi wawapo 6*6 kwani unaweza ukawa na kijana ukijua atakufikisha kunako kumbe akupaka shombo tu ukasema bola ya mzee wako uliye muacha nyumbani, nikajua tu huyu mama nimchepuko.
Sasa sijui kuwa hili swala lina ukweli wowote wajameni hebu tirirka hapa.