Werrason JF-Expert Member Nov 5, 2014 12,325 38,200 Jan 18, 2017 #3 Njaa af unauza buku 19 we uza buku tara!
darcity JF-Expert Member Jul 20, 2009 9,039 17,933 Jan 18, 2017 #4 Kilo ishirini za mchele kwa mwenye njaa hizo.
yajutu JF-Expert Member Sep 5, 2016 951 1,206 Jan 18, 2017 #6 Sasa bei kubwa hivyo nani atanunua na hii njaa unayiitangaza
Aishah2016 JF-Expert Member Jun 11, 2016 2,225 2,482 Jan 18, 2017 #7 Mmh izo elfu kumi na tisa si mtaji wa vitumbua kabisa
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,146 Jan 18, 2017 #8 Hivi watu wanaijua njaa kweli au tunafanya siasa tu
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 8,053 6,388 Jan 18, 2017 #9 Kwa hali ya sasa ilivyo ukilivaa hilo tisheti ukakatiza mtaani lazima polisi watakudaka tu; mchochezi...
Kwa hali ya sasa ilivyo ukilivaa hilo tisheti ukakatiza mtaani lazima polisi watakudaka tu; mchochezi...
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 46,212 66,244 Jan 18, 2017 #10 Tumeambiwa tuuze debe la mahindi kwa ng'ombe watatu sasa tutashindwa kununua Tshirt kwa buku 19