Eti nisikohoe, thubutu!

Mwenye picha kakupa kibali umeleta picha Yake ili apate shambulio la aibu. Huyuu ni mama wa mtu na mke wa mtu acha udhalilishaji.
 
Kikohozi ni kwenye Shape...

Miluzi ni kwenye Figure....

Chagua mwenye hiyo shape au figure...


Cc: mahondaw
 
Hivi yule kamanda wa polisi anayehusika na vikohozi yuu wapi siku hizi?
 
Sasa hapo kuna mvuto gani??
Wanaume hata sijawahi kuwaelewa
kwani wewe una mvuto gani? hizo pistol umeziona lakini au kwenye picha una fumba macho kwenye commetn unaandika!!! hizo pistol za huyo mma ni tamu kama pweza wa nazi. upo?
 
kwani wewe una mvuto gani? hizo pistol umeziona lakini au kwenye picha una fumba macho kwenye commetn unaandika!!! hizo pistol za huyo mma ni tamu kama pweza wa nazi. upo?

Peleka wendawazimu huko.
Pistol my foot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…