Ndicho nilichomshauri; hakutaka kumwambia Mdogo wake, nimemwambia amweleweshe vizuri; huyo kijana si muoaji kbs ni muharibifu tu. Nashindwa hata kumdescribe; l am sure masister du wengi wanamtolea nje kwa ulimbukeni na uarrogancy wake! Hata aliyemtoa (mfadhili) hataki hata kulisikia jina lake likitamkwa!
Anyway Mbu Asante kwa ushauri!
hahaha,....hebu usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa bana...
mijitu ya Tabora utaijua tu, japo wewe unatofauti kidogo!...
...sasa huyu phd holder, Dr 'why' kwanini lakini anafanya mambo
ya ajabu ajabu yarabi? kabila gani huyu aso'haya wala kuona vibaya?
Hata wazaramo wamestaarabika!
Yaani namuhurumia sana huyo binti, she is so humble n innocent; kila anachoambiwa anaamini.
Nimesharushiwa no ya Y ngoja nimpe live!
Tena mchane live kabisa huyo wala usimuonee haya, na huyo binti nae inakuwaje anaamini amini vitu kizembe hivo......watu nuksi eti!!!
Kweli hasira hasara, make kwa kutaja tu GOSESO, basi na sura yake akitabasamu na shule aliyosoma vimekuwa wazi.
Anyway, hili ndio jando na unyago la ukubwani kwa wale ambao hawakufundwa vizuri
Kamekulia kijijini kabinti kawatu, kakaja huku (place) kwa uadilifu na uchapakazi (kalianzia kupikia wazungu) kakapata scholarship kakaenda chuo, sasa hivi kameaajiriwa! Y alikadanganya danganya eeh; promises za kukapeleka USA n.k. Ila sasa naona kameanza kukua na kuijua dunia!
Ila huyo Y siyo kabisa.
Hivi hako kabinti hamuwezi mkakapatia hizo sms kakazisoma! Aaarrrrg huyo jamaa na madharau atakatesa tu, mie ningekuwa nawafahamu ningemharibia mwanzo mwisho!!
Si hizi kila kitu kabila ehhh?
Sijui wanaotukana wao wanatokea kabila gani.
...lol...haya makabila ndio mzizi wa mila na desturi zetu bana...
hayana uzamani wala siku hizi, unless unakumbana na jitu mchanganyiko wa
makabila kiasi cha kupoteza 'adabu' za asili ya kwao...
Sijui kama amekaaproach yet; amemwambia X wake (dada wa huyo binti) kuwa anataka amuoe. Nimemshauri amwambie kila kitu mdogo wake. Ukiangalia profile yake, kama humjui utamuona bonge la kijana kumbe ni ass...e tu!
Duh, pole kaunga.
Lakini, huyo uliyemtaja jina halisi kwa nafasi yake ya siasa unaweza kumwumiza sana bila wewe kujua.
Kwa nini umemtaja wakati si yeye mhusika??
Duh, nimeamini katika maisha kama na watu wenye shock absober za kulingana vinginevyo manaumizana bila kujua.
Sikufikiria; ngoja niedit. Nilikuwa na hasira sana by that time! Asante kwa ushauri.
pole mwaya. Ongea na mdogo wako pia,asijerubuniwa