Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,655
Reaction score
8,584
Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.

Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia, yaani nikifanya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine. Ukiacha hilo, pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ?

Nnaombeni ushauri wadau
 
WAJAMENI JAMAA ANAOMBA USHAURI
Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia,yaani nikifnya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine.Ukiacha hilo,pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ? naombeni ushauri wadau
Piga chini - mzigo haulipi huo.
 
Kwanza washirikishe washenga walio wasimamia harusi yenu.
Ukiona umeshindwa ndipo ukuje huku tukusaidie kuivunja kwa mikono yako.
By the way, hizo dodo wenzio hua hatuzishiki zaidi ya kuzitomaza huku tukizinyonya na kuzi kanda kwa ulimi wa ndani, huku tukizi sugua kwa kichwa cha mgegedo...
 
Kuna mtu anastahili kumfanyia hivyo vitu ila siyo wewe, hata tofauti na wale wanaotoa Tigo kwa michepuko huku wakiwabania waume zao, wewe mlishe akuzalie Tu uwe na mipaka naye.
 
Mkuu kwanza hongera kwa uamuzi
Ningependa kufahamu umri wa shemeji yetu labda unaweza ukawa chanzo
 
miujinga ujinga tu..
I really hope kuwa hii thread, na vi-thread vingine vyote vya aina hii, huwa ni utani tuu, watu wanajisikia tuu kutuuzia chai; Ila kama ni kweli kuwa alieanzisha hii thread na yeye ana mke nyumbani, na anategemewa basi taifa letu liko kwenye hatari kubwa sana ya kuwa na vijana ambao wako vibaya sana katika kufanya maamuzi (decision making) na kufahamu ni kitu gani cha kukisema wapi. Mwenyezi Mungu atusaidie sana. peterchoka
 
Mabusu kama mdomo unanuka ni mtihani! Hilo la matiti linashangaza, ingalikuwa 'kule chini' ningeelewa maana katika hatua za awali kuna ambao hawapo comfortable kuonwa au kushikwa (e.g. kuna mmoja alikuwa mgumu kupindukia nikaja kugundua alikuwa amekeketwa na hakutaka nijue😀😀😀)
 
I suspect two things. inawezekana unanuka mdomo, au kuna mtu anakupigia kiasi kwamba mkeo akirudi nyumbani kifua kinauma, labda matiti yamebonyezwa sana.
Lakini tatizo kubwa ninaloliona kwako, ni kwanini ukuwa na reasobale courtship period ili mjuane vizuri?
 
Mimi nlishawaambia muwe mnawachunguza wake zenu kabla ya kuwaoa ili kuhakikisha sifa zote Unazozitaka. Eti tendo la ndoa hadi unioe. Nani kasema? Hakikisha unamtafuta yule mwenye sifa unazozitaka. Usione aibu kumtema msichana uliemkuta hana sifa na usioe mwanamke usiyejua sifa zake za kitandani. Kuna wanawake nyoko.
 
I really hope kuwa hii thread, na vi-thread vingine vyote vya aina hii, huwa ni utani tuu, watu wanajisikia tuu kutuuzia chai; Ila kama ni kweli kuwa alieanzisha hii thread na yeye ana mke nyumbani, na anategemewa basi taifa letu liko kwenye hatari kubwa sana ya kuwa na vijana ambao wako vibaya sana katika kufanya maamuzi (decision making) na kufahamu ni kitu gani cha kukisema wapi. Mwenyezi Mungu atusaidie sana. peterchoka
Ujinga tu, ndoa haina hata wiki tano washaanza makelele
 
Back
Top Bottom