UFISADI TRAINING COLLEGE
Chuo kinakutangazia nafasi za kozi zifuatazo kwa
mwaka wa masomo 2010-2015:-
Wizi wa Kura
Utumiaji wa Vyeti Feki ili Kuitwa Daktari
Kulipa Mishahara Hewa
Kuanzisha Makampuni Hewa
Kuiba Misaada na Michango ya Waathirika
Chuo kinakupa nafasi ya Kwenda Field (Elimu kwa Vitendo) EPA, BOT, TRA,
na ukishamaliza kozi utaajiriwa RICHMOND au DOWANS.
CHUO kimetoa wahitimu wengi kama EL, Kara-magi, RA, AC, Chikwete, orodha
ni ndefu.
FOMUzinapatikana Ofisi zote za CCM, Ikulu, BOT na TRA.
WAHI sasa nafasi ni chache.