Eti ni kweli?

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
Mbuzi alimuuliza Bata: "Kwanini wewe ukitembea kiuno chako ni ndembendembe, yaani kushoto kulia, kushoto kulia?"

Bata akajibu: "Shosti Wanaume wa siku hizi wanapenda Wanawake wanaotingisha wowowo la sivyo hawakutongozi"



Bata akamuuliza Mbuzi: "Mbona wewe uchi wako unaonekana waziwazi?"

Mbuzi akajibu: "Kama kawa Wanaume, wa siku hizi usipowavalia nusu uchi hawakuoni wala hawakutongozi, sasa mimi imenibidi niache wazi kabisa!

ONYO: MME AU MKE MWEMA HATOKANI NA JINSI UVAAVYO OVYO

BADILIKA
 
hahahahah..madoido ya bata ni hatari sana aisee!
 
Bado kuletewa hadithi za "Hapo zamani za kale...."
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…