Eti ni kweli?

Eti ni kweli?

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
Kuwa huko Tanzania ,kuna waziri mmoja ana sura mbaya, kiasi kwamba siku moja alienda kufungua mradi wa visima vya maji kijijini kwao katika uzinduzi aligoma kuzindua visima hivyo baada ya kuchungulia ndani ya kisima na kuona sura ya mnyama flani na kudai kuwa hawezi kuzindua kisima na kuruhusu wana kijiji watumie maji hayo kwavile huko ndani ya kisima kuna mnyama. kumbe ni sura yake mwenyewe?
 
Kweli mkuu,aliitwa kuzindua kisima,alivyochungulia tu akarudi nyuma kidogo na kusema "HONGERA WANANCHI KWA MRADI WA UFUGAJI WA MAMBA"
 
Duh nilifikiri joki kumbe kweli basi

kwaheshima na taa zima namwomba modi aihamishie kwenye jukwaa la habari mchanganyiko na kichwa cha habari anisaidie kuongezea aweke brekingi nyuzi
 
Mkuu daah,iache hukuhuku,ili naye akipita aione,naskia naye ni member humu jf!
 
Huyu sio wahasira kweli? kama sio yeye basi labda ni katoto ka mkalima
 
Hahaha...mimi mwenyewe nilikuwepo,si katoto ka mabala ze fama bwana!
 
Back
Top Bottom