Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
kwanini asikubembeleze yeye na wewe ujilegeze kama sehem ya kutupa jiwe gizani kusikilizia.Mm yakiisha nadelete kila kitu
Nahisi ndo maana sipat wachumbaa sijui kubembelezaa
Mm yakiisha nadelete kila kitu
Nahisi ndo maana sipat wachumbaa sijui kubembelezaa
kwanini asikubembeleze yeye na wewe ujilegeze kama sehem ya kutupa jiwe gizani kusikilizia.
Pole Cha Mdeko[emoji23]
Asantee mwaya vip kwako?
Mimi Sijafikia Hiyo Hatua
Wewe si Tunasubiri Tu Harusi!Hongera sana
Wewe upo kama mimi kumbe tena na kukongea na wewe hata nikukute njiani sikusemeshiMm yakiisha nadelete kila kitu
Nahisi ndo maana sipat wachumbaa sijui kubembelezaa
Wewe upo kama mimi kumbe tena na kukongea na wewe hata nikukute njiani sikusemeshi
nilishawahi kufuta namba yake baadae nikaitafuta kwenye true caller nikamtext akanijibu nani mwenzangu!!!!
Wewe si Tunasubiri Tu Harusi!
nilishawahi kufuta namba yake baadae nikaitafuta kwenye true caller nikamtext akanijibu nani mwenzangu!!!!
🤣🤣🤣🤣Ndo tabia yangu hahahaha