Fidel80: Tangu ulipoacha kujiexpress, unahisi umemiss kitu gani?
Hehehe! Jasiri haachi asili!Naona kiongozi jana hukudumisha mila kabisa.
Toka niache kujiexpress nimekuwa nakosa mambo mengi hata wachumba sasa sipati kabisa imekuwa kama gundu bado natafakari mara mbili mbili huu uamuzi wangu wa kustaafu kujiexpress maana mila zinadumishwa kwa taabu sana.
hii kesi nzito.......Geoff: Siku hizi umekuwa mpole sana, mshiki kakudhibiti?
Mzee Mwanakijiji: Utastaafu lini siasa uanze mapenzi rasmi? Siasa haina kustaafu?
Firstlady1: Mbona kasi yako ya kupost imepungua, Umeshaanza kwenda Kliniki?
Geoff: Siku hizi umekuwa mpole sana, mshiki kakudhibiti?
PakaJimmy: Kwanini hupendi kwenda kanisani mpaka Kwaresma ianze?
Bigirita: Siku hizi umekuwa Premium Member, unamshauri nini Nyivonduma sir?
Fidel80: Tangu ulipoacha kujiexpress, unahisi umemiss kitu gani?
Carmel: Bado uko desperate kutafuta ile kitu au umefanikiwa? Mbona hutuambii?
Kimey: Hivi ukilala bila kupata kileo unahisi utapunguza siku zako za kuishi?
Kaizer: Hivi bila ku do the needful unahisi kiwango cha kupiga organ kitashuka?
Mwanajamiione: Tangu ulivue pendo hujahisi kuwa unahitaji kulipanda tena?
Bht: Yale mazoezi ya kupunguza uzito yamekusaidia chochote?
Nguli: Unahisi bila freestyle muziki wa kizazi kipya bado hautanoga?
Maria Roza: Unajisikiaje unavyowahamishia wapwa kwenye lile jukwaa lako?
Noname: Hivi ukitumia kiswahili unahisi ujumbe wako hautafika unavyotaka?
Akili Kichwani: Pearl mambo tayari au unaogopa wapwa wasikupoke? Mbona jii?
Sipo: Unaonaje ukirudi mjini? Huoni huko uliko umeshafulia?
Edson: Ile namba ya simu kwanini hutaki kumpa Kaizer? Unaogopa nini?
Next Level: Kwanini unachanganya konyagi na club soda?
Preta: Kwanini unaogopa kutembelea sehemu zenye baridi?
Lily Flower: Kwanini umeamua kurudi Vodacom, Tigo imekuchosha?
Nyamayao; Nimekumisi sana, martenity leave inaisha lini?
Jerome: Hiyo avatar yako, hicho kidole kinamaanisha nini?
Masaki: Huoni kuwa sasa unahitaji kumrudia Mola wako? Pombe imekushinda?
Pearl: Hivi ni lazima uende kazini ndio uwe online JF?
Baba Enock: Lini utanitafuta Viola Pub nikununulie bia baridi?
Dark City: Umeacha tabia yako ya kupekua simu ya mkeo?
Masanilo: Kwanini ulitoroka kwenye ile Rehab? Huwezi kulala bila kunywa?
Shishi: Umeamua kufunga ndoa baada ya kupata kitambi? Ulitesti kwanza?
Charity: Unaonaje ukiacha kazi unayofanya ukawa daktari wangu?
Wengine: Mnahisi kwanini sijawauliza swali? Msijali: Leo ni Furahi dei, nina hangover!

QUOTE]
ha ha ha hommie mbona mapema mapema ivyoo....jibu hili hapa chini!!
Alcohol may be man's worst enemy, but the bible says love your enemy
Firstlady1: Mbona kasi yako ya kupost imepungua, Umeshaanza kwenda Kliniki?
!

Hujatuuliza kwa vile huna data zetu.Mzee Mwanakijiji: Utastaafu lini siasa uanze mapenzi rasmi? Siasa haina kustaafu?

Binamu 2010 niko kikazi zaidi nje ya JF ..kuna project zangu nafanya zinanichukulia muda mwingi labda 2011 kama mungu akijaalia nitaendelea na kasi yangu
thanx Chispin
Tutadiscuss faragha.Niko kwa ajili yako hilo ulijue mapema.Mzee Mwanakijiji: Utastaafu lini siasa uanze mapenzi rasmi? Siasa haina kustaafu?
Shishi: Umeamua kufunga ndoa baada ya kupata kitambi? Ulitesti kwanza?
Charity: Unaonaje ukiacha kazi unayofanya ukawa daktari wangu?
Wengine: Mnahisi kwanini sijawauliza swali? Msijali: Leo ni Furahi dei, nina hangover!
Hehehe! Jasiri haachi asili!
Najuta kwa kutokunywa valuu za kutosha jana. Kichwani hamna kitu kabisa!
Unahisi kwa nini?heri mimi sijasemwa