Chukua Chako Mapema,ndiyo philosophy ya nchi yetu,tangu enzi ya Mzee Ruksa mpaka sasa!
Seminars na mikutano kila kukicha na bado tupo pale pale.
Wanaenda kupunga upepo naona. Si ajabu wakirudi ya huko yote washayasahau.
hivi inakuwaje waziri wa serkali ya muungano akae pembeni mwa waziri wa zanzibar? au kwa vile mkutano uko uturuki inchi ya kiislam kama zanzibar?
Huyo ustaadhi hapo kati ni vipi tena au kala kungu??
zanzibar sio nchi ya kiislamu kamwe
Huyo ustaadhi hapo kati ni vipi tena au kala kungu??
Huyo ustaadhi hapo kati ni vipi tena au kala kungu??
Hivi heading na maelezo mbona naona tofauti..??au labda nina matatizo!!
Huyo ustaadhi hapo kati ni vipi tena au kala kungu??
hata mimi sijamuelewa jamaa amekusudia nini maana picha na maelezo havikubaliani kabisa