Labda nyimbo za mbele kwa mbele ndiyo zinamanufaa kwa taifa?Wee ni uvccm ndo maana imekuuma huna jinsi tulia dawa iingie gamba mkubwa ww
Mkuu screpa nafikiri hujanielewa,Kama kuwa mwanaume ni kuimba upuuzi basi hii naisikia kwako. Mwanaume KWELI hanaga shobo
Mkuu sifa mojawapo ya mtu mpumbavu ni kutopokea ushauri akiamini yeye yuko juu ya ufahamu wote kama wewe hivyo, so sishangai !Weusi unawajua vizuri au unawasikia tu?
Mkuu hapa hakuna chuki that's why tunatoa ushauri maana mimi pia ni mpenzi wa butudani hasa muzikiChuk binafs
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Ushauri mwingine ni wa kipumbavu.Mkuu sifa mojawapo ya mtu mpumbavu ni kutopokea ushauri akiamini yeye yuko juu ya ufahamu wote kama wewe hivyo, so sishangai !
Sent using Jamii Forums mobile app
Nagundua kuwa akili yako iko interacted na siasa ndio maana huna uwezo wa kuelewa mambo mengine nje ya siasa. Badilika wewe zwazwaWee ni uvccm ndo maana imekuuma huna jinsi tulia dawa iingie gamba mkubwa ww
poa mkuuMkuu hapa hakuna chuki that's why tunatoa ushauri maana mimi pia ni mpenzi wa butudani hasa muziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wako kichwani mdogo ndo maana hujaelewa nilichoandika namaanisha mtazamo wenye tija sio upupu huo walioimba hao jamaa zakoWewe naye....productive concerns ndo zpi ?? Music no dynamic no sio lazima kila idea ukutouch OK..subir zamu yako
Sent using Jamii Forums mobile app