Eti nae katoka nyumbani amevaa

duniani wapitishe sheria watembee kama walivyo zaliwa. Kweli dunia inakimbia mwishoni naona imeanza toka kwenye axis yake
 
bora asingevaa kbs ikajulikana moja yupo uchi.
 
Ukweli husemwa:

Watanzania bana, kwani hujui kama kuna makabila ambayo kuwa na matiti nje ni fasheni. Kwanza kuvaa nguo mwili mzima ni utamaduni ambalo tumeletewa na weupe wa magharibi na mashariki ya mbali

angalia kabila la Wataturu:-



 
kuna haja ya kuwa na uamsho wa mavazi maana watu siku hizi hawajiheshimu kabisa katika suala la mavazi
 
Yaani wewe umegonga penyewe! wakati mwingine wabongo tunajifanyaga watakatifu , oooh mara manguo marefu ndo utamaduni wetu, ooh msitembee uchi( hypocricy) wakati tamaduni zetu origin tulikuwa hatuvai nguo! haya mambo ya nguo yote yamekuja....aarrghhh
 
ila tuacheni utani, huyo dada ana ziwa zuri, daah.
 
Acheni utani bhana, nazo zina raha yake, Ametokelezea. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…