Eti, na wewe ukioa ntakupa hadi uchoke....

Mkami Lum

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
414
Reaction score
96
Jamaa yangu ninayefanya nae kazi alimtongoza mke wa mtu, yule mwamamke akakubali ila kwa sharti hili, aoe kwanza ndio atapata nafasi ya kumgegeda kwasababu itakua ngoma droo.

Je, kufanya penzi na mme\mke wa mtu, (wote wanandoa) kunapunguza maana ya neno usaliti?
 
Hakuna string attached, kijana hawezi kumganda dada, pia adabu itakuwepo maana kutakuwa hakuna kupigiana simu usiku wa manane kuharibiana.
 
Sasa akishaoa anamtakia nini, wengi huwa wanadate wake za watu kukimbia gharama za kuhonga. Maana mambo mswano tu ya kungonoka.

Labda anataka ajikoshe kuwa hakuwa pekee anayesaliti ndoa kwenye hayo mahusiano
 
Amna ki2 kama hicho usalit ni usaliti tuuu!
 
Jamaa yangu ninayefanya nae kazi alimtongoza mke wa mtu, yule mwamamke akakubali ila kwa sharti hili, aoe kwanza ndio atapata nafasi ya kumgegeda kwasababu itakua ngoma droo.

Je, kufanya penzi na mme\mke wa mtu, (wote wanandoa) kunapunguza maana ya neno usaliti?

Huyo mwanamke ana akili sana

Huyo jamaa hajui thamani ya mke na huyo mwanamke amemuambia hayo kwa kuwa anajua huyo jamaa ni wa hovyo
Aoe halafu aone kama atamtongoza tena!
 
Huo ndo utakua mwisho wa kuhitaji kama kwel alitaka game, anajua ukioa utamtaka wa nin huku mke ana provide?
 
Jamaa yangu ninayefanya nae kazi alimtongoza mke wa mtu, yule mwamamke akakubali ila kwa sharti hili, aoe kwanza ndio atapata nafasi ya kumgegeda kwasababu itakua ngoma droo.

Je, kufanya penzi na mme\mke wa mtu, (wote wanandoa) kunapunguza maana ya neno usaliti?
mkee wa mtu ni sumu....yatakuja ya kupate.usiyo ya tegemea utakuja kojoa dagaa au kucha mbia upangaaa haya
 
Mxiiiiii! unakuta jitu linajifia utamu wa mke wa mtu. Kuna wanaume wengine ni laana tupu.
 
Jamaa yangu ninayefanya nae kazi alimtongoza mke wa mtu, yule mwamamke akakubali ila kwa sharti hili, aoe kwanza ndio atapata nafasi ya kumgegeda kwasababu itakua ngoma droo.

Je, kufanya penzi na mme\mke wa mtu, (wote wanandoa) kunapunguza maana ya neno usaliti?

Huyu mama anataka kuangalia kama wewe utafurahi mkeo akikusaliti. Achana na mke wa mtu ni SUMU kali
 
Kivyovyote ni usaliti na ni dhambi pia sema ni majina tuu yatakua tofauti,mtu aliye kwenye ndoa akifanya ngono na mtu ambaye hayuko kwenye ndoa yule aliye kwenye ndoa atakua anafanya uasherati ila yule ambaye hayuko kwenye ndoa atakua anafanya uzinifu so wawili hao wakiwa kwenye ndoa na kufanya ngono wote watakua wanafanya uasherati
 
Ametumia njia nzur sana ya kumtuliza na kumdicpline huyo boy!! maana kamuona bado utoto upo

Wengi hawakugundua hili huyo mke ni Kati yawachache wenye busara Kati wake wengi waliopo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom