figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,661
- 59,098
Mwigulu Nchemba na Samia Suluhu ni genge moja lilishiriki Mauaji ya 29.10.2025 Nchi Tanzania.. Wananchi walliokuwa wanapinga Uchaguzi kkuyokuwa huru, walliuawa kama Nzi. Hadi Dunia ikashituka.
Leo Mwigulu anadai eti amerudisha tabasamu kwa Wananchi..
Nadhani tunataka kujua ilipo miili ya Waliouawa 29 Octoba 2025...
Eti Mwigulu Nchemba, ametoa majibu ya mgogoro wa ardhi baina ya wakazi wa Wilaya ya Monduli na Jeshi la Wananchi ambao umedumu tangu mwaka 2004, baada ya kumpigia simu Mkuu wa Majeshi nchini na kumweleza kilio cha wanaMonduli.
Huu Utawala umechanganyikiwa? Samia ni Mwigulu wanatuona Watanzania kama Manyani