Eti mwanaume wa kweli anatumia dume.

Eti mwanaume wa kweli anatumia dume.

Hahahaa!
Log in Mkuu!
Ati raha ya soda unywe kwenye chupa yake!
Kwa glas sio tamu!
Kwa kikombe sio tamu!
Na hata kwa kisoda sio tamu eti!!!
Umeona eh! hawa wanatukana watu tu au ndio Freemason wamewafundisha hivyo? mwanaume utatumiaje dume? mijike yote hii iliyojaa nikatumie dume mwenzangu? hii sio haki jamani,mwanaume tumia jike ili upate raha.
Nalog off
 
Hahahahahaaaa!
Washawasha mbavu zangu mie! Uwiiii!
Ati majike yote hayo afu tutumie dume! Mamaaaaa!
Saluti Mkuu!
 
Hahahahahaaaa!
Washawasha mbavu zangu mie! Uwiiii!
Ati majike yote hayo afu tutumie dume! Mamaaaaa!
Saluti Mkuu!

hawa wana mpango wao ambao wameshauandaa ili baadae watoto wetu wajesema mnatukataza nini wakati enzi zenu ili uonekane kidume ni lazima utumie dume!
Nalog off
 
nakumbuka nilimpa student pregnancy bila kutegemea!
imepasuka halafu nakuja kustuka its too late!!!
loading....
ngoja niweke bundle niwaambie kilichofata!!!
 
unayajua mayao? Umewah kwenda tamsala? !

mayao tena hapo ilikua sana kwan ndo apetite ya asubuhi,lunch na dinner ilikua kumpiga mkwara dogo akupe wa between,tamsala aaaah sie tulivunja mwiko na peramiho
 
mayao tena hapo ilikua sana kwan ndo apetite ya asubuhi,lunch na dinner ilikua kumpiga mkwara dogo akupe wa between,tamsala aaaah sie tulivunja mwiko na peramiho

box 2 for life! Hakunaga kama pale. Nlmalza advance 2010
 
matangazo mengine nuksi tupu. ndo mana sipendi kusikiliza radio.
 
Back
Top Bottom