Eti 'Mpe wa Nyumbani Yule'.....


Sijui nimefika fikaje kwenye hii thread....... na hata sijui hata naandika nini......

Hello boy, think I miss ur jargon......
as usual Kasie.
 

we na gazeti la uhuru ni sawa tu, malaika gani aliyemkataa lowasa, ushamuona huyo malaika, hao si walevi tu wanaropoka, anayefaa ni nani sasa, kwa mtazamo wako, hata shetani mumuweke akishindwa basi rudini kule kule, ila sio hawa jamaa washaumiza sana, kila nikitizama hapa hakuna ushabiki ni wananchi wanavyonyanyaswa ndani ya nchi yao, wanamchafua baba wa watu kwa sababu ya madhambi yao, akija ongea na yeye, nchi itazizima hii, kuna wengi wanataka kutoka lakini wanashindwa kuwa wakitoka tu ndio umma utajua madhambi yao, ccm hakuna msafi faizafoxy, sina muda nitaenda ishi rwanda manake nishanunua kiwanja huko niko mbioni kujenga, lakini tz nitakuwa nakuja ka mtalii, aibuuuuu, ni kipi cha kujivunia hapa tz sisi, kuna watu wanajiona wao ni miungu watu,
 
Na Je akija na agenda mbovu na ambazo hazita leta maendeleo yeyote kwao Je bado watampigia kura?
 
mmmh naona umeamua ufukue kaburi!
Huu uzi unawafaa sana kwasasa hao waliokuwa wanazungumza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…