Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,035
- 142,950
- Thread starter
-
- #21
Unashangaa mpe wa nyumbani wakati Lowassa anasema walutheri wampe kura kwa kuwa yeye ni mlutheri.
Hilo halikupi shida?
Mbona hata kanda ya kaskazini pia nao ni mtindo kama huo wanao, jumamosi nilikua harusini mbezi makonde kwenye ukumbi walikua wanasema kaskazini oyeeee chagua ukawa,
Unashangaa mpe wa nyumbani wakati Lowassa anasema walutheri wampe kura kwa kuwa yeye ni mlutheri.
Hilo halikupi shida?
Ukanda, ukabila, unyumbani, ukwetu, udini. Taratibu mtalifikisha taifa mnapotaka...
Akina nani hao wataolifikisha taifa pabaya.....?
Kwenu ni neno zuri/baya kulingana na unavyolitumia ..na kusikia tu mtu anaongea si hoja, hoja ni pale kama Hugo mtu naye hana hoja za kumchagua Hugo wa nyumbani, kwahiyo tusiishie kudakia neno moja wakati yameachwa mengine kumi ya maana.
Gwajima kashawazika leo mashetani wakubwa nyinyi.
Kwani huelewi tu kuwa hiyo kitu imetengenezwa?Unashangaa mpe wa nyumbani wakati Lowassa anasema walutheri wampe kura kwa kuwa yeye ni mlutheri.
Hilo halikupi shida?
Yote shida tu hadi nishakata tamaa kabisa na haya mambo!
Sasa sijui Uluteri na Unyumbani unahusika vipi na maslahi ya umma?
pia usisahau kumshangaa funder wa hili ambae ni mwenyekiti wako wachama,utawala wake umejaa udiniUnashangaa mpe wa nyumbani wakati Lowassa anasema walutheri wampe kura kwa kuwa yeye ni mlutheri.
Hilo halikupi shida?
Hiyo ni kauli ya dada mmoja hivi jirani yangu niliyemsikia akiongea kwenye simu!
Na huyo wa 'nyumbani' si mwingine bali ni yule mgombea urais kupitia CCM.
Huyu mdada anatokea huko kanda ya ziwa. Pia, jana niliongea na mtu wangu wa karibu aliyeko pande za Simiyu huko na akanambia kuwa mwelekeo wa watu wengi huko ni kumpigia kura mgombea wa CCM kwa kutumia hiyo sababu ya wa 'nyumbani'.
Sasa mimi sielewi kabisa.
Hivi ina maana rais akiwa ni wa 'nyumbani' ndo shida za watu wa 'nyumbani' zitaisha au?
Kama hazitaisha, kuna nini kingine katika kumpigia kura huyo mtu wa 'nyumbani'?
Sisi ndo sisi,mtake msitake we will make it.....Chaggadema msilete fujo na hicho kitega uchumi chenu na huyo fisadi papa wenu.