punguza mibange!!mimi na mke wangu tumekuwa kwenye ndoa ambayo ugomvi ni mara chache sana kutokea, kila tunapokuwa wote katika maongezi mara nyingi mke wangu huishia kuangua kicheko sana, anasema katikati ya maongezi kuna maneno huwa nachomeka ambayo yanamvunja mbavu sana. Mfano ni jana ambapo kuna kitu aliongea...nilipomjibu alianza kucheka mfululizo huku kila akitaka kurudia kile nilichosema, anaingia kwenye bonge la kicheko tena...mpaka akajikojolea! Nikaona nibadilishe mada lakini mwenzangu nikaona ndo kwanza anaanza kutambaa kama mtoto sakafuni, nikakimbilia chumbani akanifata, kufika akaendelea na vicheko tena huku anaachia mashuzi (anajamba), nikashtuka kuwa isijekuwa ni ishu ya kiafya, either zimemruka ndo nikaamua kuanza kumchapa makofi, hatimaye akatulia, lakini alinishtua, ila baadae akadai ni kucheka tu, haikuwa ugonjwa.
Duuuh nasikia ukawa wakichukua nchi mchakato wa katiba unaanza upyaaa
Mkuu una miaka mingapi?
hivi boko haramu waliwarudisha wale wasichana?
Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye ndoa ambayo ugomvi ni mara chache sana kutokea, kila tunapokuwa wote katika maongezi mara nyingi mke wangu huishia kuangua kicheko sana, anasema katikati ya maongezi kuna maneno huwa nachomeka ambayo yanamvunja mbavu sana.
Mfano ni jana ambapo kuna kitu aliongea nilipomjibu alianza kucheka mfululizo huku kila akitaka kurudia kile nilichosema, anaingia kwenye bonge la kicheko tena...mpaka akajikojolea.
Nikaona nibadilishe mada lakini mwenzangu nikaona ndo kwanza anaanza kutambaa kama mtoto sakafuni, nikakimbilia chumbani akanifata, kufika akaendelea na vicheko tena huku anaachia mashuzi (anajamba), nikashtuka kuwa isijekuwa ni ishu ya kiafya, either zimemruka ndo nikaamua kuanza kumchapa makofi, hatimaye akatulia, lakini alinishtua, ila baadae akadai ni kucheka tu, haikuwa ugonjwa.

Hahahaa nimemuona huyo pacha wako
siwezi kuwa pacha na dogo wa miaka 18
Hata wewe nina wax wax na umri wako
ha ha ha ha ha ha ha
ukiweza kuotea umri wangu nakutajia kabisa hata karibu kwa mwaka mmoja ila pm
akikujibu niambie..maana mhh
Mimi nikutajie pm au we ndo utaniyajia pm nikipatia?