Eti milioni tano inaweza?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti milioni tano inaweza??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tasia I, Apr 8, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wakuu,
  tafadhalini nipeni ushauri wa kibiashara.eti kwa mtaji wa shilingi milioni tano naweza kufanya biashara gani hapa dar?
  nitafurahi sana kama nikielezwa hata kwa kifupi inalipa vipi hyo biashara.
  nahitaji msaada wenu tafadhali.
   
 2. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kufuga kuku wa kienyeji
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,141
  Likes Received: 3,330
  Trophy Points: 280
  Mjomba biznes ya kuku wa mayai au biashara ya baba lishe itakuwa fuleshi..
   
 4. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu mimi nadhani unge sema wewe uko na interest ya biashara gani, hapo ndio ingekua rahisi zaidi. Tafadhali usiogope speak out your mind.
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Hapa dar hiyo pesa ni kidogo sana usiseme ushauri wa kibiashara sema ujasiliamali! Waweza kufanya biashara yyte ile lakini ilikupata ushauri wenye mafaa nilazima wachangiaji tujue upo ktk mlengo gani wa kijasiliamali!! Tukikushauri kienyeji hiyo pesa itapotea tu bila hatafaida! Kama vp nenda ktk company yoyote ile wekeza pesa yako utapata faida yakutosha call no 0713865544 ushauriwe kjasiliamali bos!!
   
 6. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  jenga banda la kuku fuga kuku,wa nyama na wa mayai ,
  unatakiwa ufuate ushauri wa wafugaji na watu wanaofuga,u can never go wrong,
  ukiwa na kuku 500 tegemea around tray 10 za mayai,and for about 5,000 ni sawa na 50,000 per Day siyo mbaya ukitoa gharma za uendeshaji
  unakuwa na kitu kama 35 per Day,so ndani ya siku mia utakuwa na 3,500,000 baada ya miezi 6 ya uzalishaji wa mayai utakuwa umerudish pesa yako na faida kiasi then unakula faida tu.
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  yes ... thamani kubwa ya uwekezaji katika biashara ni business idea ambayo ipo feasible na idea mara nyingi huwa inatokana na interest za muhusika atakayefanya hiyo biashara ... pesa (financial resource) ni input kama ilivyo human/labour resource
   
 8. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kiukweli tatizo ni kua sina idea.
  ndio sababau kuu ya kuuliza kwa ujumla kua inaweza kufanya nini hela kama hii.asnteni wakuu.
   
 9. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  mkuu nakushukuru san, ila sasa mbona naona kama miloni 5 zitaishia katika ujenzi wa hilo banda tu! na wakati hua bado kuku nitawanunua kama vifaranga, mpaka waanze kuzalisha mayayi nitaendeshaje mradi??
  hapa naomba experience kidogo mkubwa.
  kama vile banda linagarim kiasi gani, kuku wangapi wakuanzia wakiwa katika umri gani?, itanichukua mda gani kuanza kuzalisha, garama za uendeshaji japo kwa siku.

  ukinisaisia hii utaniweka kwenyw mwanga zaidi mkuu.
  nakushukuru kwa mda wako.
   
 10. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  ujenzi wa banda ni around laki 7,the rest tembelea wafugaji wa karibu nawe,nimekujulisha anza na kuku wa nyama,hawa wanachukua muda mfupi,ukishazungusha round 3 hivi,unaaanza na ujenzi wa extension ya banda la kuku wa mayai,kwa kuwa wanakuwa taratibu mpaka waanze kutaga,unajenga taratibu pia,so unatumia mradi wa kuku wa nyama kulisha kuku wa mayai.wakishaanza kutaga wewe ni kulisha na kupata faida,kwani wakishaanza kutaga hawafi hovyo hovyo ,
  mimi nimeanza similar process.
   
 11. N

  Nacharo Member

  #11
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu,eti kama hana eneo la kujenga hilo banda la kuku afanyeje,gharama ya kununua eneo nayo si fedha yote itaisha?
   
Loading...