Mboga saba ila zote ni mboga za majani.
Point ni kwamba umechafua tu meza maana mboga zote saba unapata kirutubisho kimoja!Daaahhh kweeel? Hebu ntajie nifanye tathmini ili ikiwezekana ni achane nazo kabsaaa
Duuuh unamaanisha kwenye hizo mboga saba anazonadi Mr blue hakunaga vipande vya kuku au maini roast? Bas ka'vipi nimeghairi sasa staki kurundika chainizi na matembele mezaniPoint ni kwamba umechafua tu meza maana mboga zote saba unapata kirutubisho kimoja!

Hapana, yawezekama yeye kaweka hivyo vopamde vya nyama, maini nk na pia yawezekana ya mboga saba yake ni moja ya majani, pembeni spinach, kule maini, hapa chicken etcDuuuh unamaanisha kwenye hizo mboga saba anazonadi Mr blue hakunaga vipande vya kuku au maini roast? Bas ka'vipi nimeghairi sasa staki kurundika chainizi na matembele mezani![]()
![]()
![]()
![]()
Duuuh unamaanisha kwenye hizo mboga saba anazonadi Mr blue hakunaga vipande vya kuku au maini roast? Bas ka'vipi nimeghairi sasa staki kurundika chainizi na matembele mezani![]()
![]()
![]()
![]()
