😃😃😃Yanga a wanacheza na yanga b.
Things Fall Apart. By Chief Chinua Achebe.
Mazoezi ya Kikosi A na Kikosi B, wenyewe wanacheza mechi
This coming elections it’s CCM vs CCM, hakuna chama cha upinzani katika kinyang’anyiro cha October wote ni CCM.
NakaziaVyama vyote vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi ni kivuli cha kijani.
Polepole tutaelewana wakimalizana na chadema ni wao kwa wao sasa
Saa 100 vs kivuli chakeee