Eti madada na hili nawasingizia?

Hahahaaa maneno yako yamenichoma cjui kwasabab nna hako katabia.....wanaume mmezid ubahil tusipo danganya ivo mnatusahauu aghaaa

Nakumbuka nilipokutana na wewe arusha nusu nimalize mkopo wangu wote
 

ha ha ha ha.., ni shidaaaa. Sawa na mim nimeiona kwa rafiki yetu murusward aziz..
 
Hii kweli hujasingzia..kuna mate wangu alishawahi kufanya hivyo, mkaka wa watu akaleta na keki na mizawadi kibao, halafu hata hakuonjeshwa ile keki....tukajilia zetu na nyimbo tukaimba....kumbe fix tupu...
 
Wanaume wa siku hz jamani sijui mkoje,yaan ni full kulalamika tu. Sasa hiyo laki 2 ndio ya kutolea mfano.
 
Hahahaha Questionnaire ya uchumba + kuzaliwa kwa mafungu. Ahsante coz sikutegemea kama ntacheka hivi
 
Wanaume tupunguze kulia bhana,,kama mapenzi gharama kwanini usiyaache,,,ndo tatizo la kujenga kijiji kwa dem mzuri!!hawa ni wa kuwapiga na kukimbia
 
Mbona wanachapika tu,akijifanya mzuri nami najifanya ninahela natumia nae siku moja ila nitahakikisha nabandua cku hiyohiyo!Akileta story ooooh baby jpili ijayo bday yangu nami namuIGIZIA kuwa ijumaa ndio bday yangu hivyo nibora tungeanza kusherehekea yangu kwanza n thn tumalizie yako,akikubali kushiriki tu bac nahakikisha nambandua cku hiyohiyo na hatoniona tena.Hiyo inaitwa KOMOA NIKUKOMOE
Weeh saka mahela bwana, acha kujistress na mizinga midogo midogo. Wanawake wazuri wote utaishia kuwaita shemeji hehehe, shauri yako!
 
Mmmmmmhh!!! Message sent,eti mwenzetu umezaliwa kwa mafungu..... Lakini ukitaka kula sharti nawe uliwe kidogo...
 
yaani laki 2 mwanaume walalamika,hahahaha hela ya mbuzi hiyo acha ubahili utajakosa vinono
 
Hahahaha if raha tupu

Demu una Birthday 3 kwa mwaka?mi nakuchora tu,au mwenzetu ulizaliwa kwa mafungu,February Kichwa...June Kiwiliwili...November Miguu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…